Makosa makubwa mno kurudia team kwenyr mkeka...usiwai rudia tenahmmmm hiii kazi ni ngumu mno mikeka 3 yote ina msubir mpuuuzi mmoja ambae ana kila dalili ya kuzamisha jahaz apa
hmmmm hiii kazi ni ngumu mno mikeka 3 yote ina msubir mpuuuzi mmoja ambae ana kila dalili ya kuzamisha jahaz apa
Usiweke team1 kwny option mojaAngalizo usiweke team moja kwenye mikeka zaidi ya mmoja
Nilimpa Tanzania kua atashinda kwenye kuteka watuKuna mtu yoyote kampa tanzania??[emoji23][emoji16][emoji3]
******* hao wamezingua kinoma yaniMali na penat kakosaa
Mshenz sana, alibaki yy tuu. Odd natengeneza kwa shida hiv alaf hayupo serius******* hao wamezingua kinoma yani
Yaani mwenyew ndo nlikua najua nimempiga mzungu hapo kafanya umama amechana mkekaNi Mshenz sana, alibaki yy tuu. Odd natengeneza kwa shida hiv alaf hayupo serius
Timu za Africa zinaaminika chacheYaani mwenyew ndo nlikua najua nimempiga mzungu hapo kafanya umama amechana mkeka
Yaani tulie wote ni balaaaMali ameninyima mali, siamini nimeikosa 200k
Kasepa na kijijiYaani tulie wote ni balaaa
Kakosa penalty mbwa huyoMali ameninyima mali, siamini nimeikosa 200k
Mi pia nilikua namsubiri yeye tuYaani mwenyew ndo nlikua najua nimempiga mzungu hapo kafanya umama amechana mkeka
Ananilaza na hasira tu hapa....mkeka mwingine kachana Croatia na England wamegoma hata kupata goli moja mbwa waleMi pia nilikua namsubiri yeye tu