Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Salamu wadau , naomba mwenye uelewa anisaidie

-Wadau nimedraw pesa Jana usiku hiyo 45,000 na 5,000 ikakubali ikawa approved kama inavyoonekaka.
-ila kwenye transaction history hiyo miamala miwili ya juu ya 45,000 na 5,000 inaonyesha haijawa confirmed na mobile operator (na pesa bado sihapata)kama hiyo ya chini ambayo imeandikwa confirmed by mobile operator (mpunga umeingia kwenye akaunti.)

Cjawahi kutana na hili tatizo na nidraw Mara nyingi sana

Tatizo hapo lipo kwa nani?

 
Iyo pesa ndio kwaheri mm pia ad Leo nina jasira wamemeza, pesa zangu ao xbet AF ukisaambia wa2 umu wanakuona, unazingua ngoja liwakute
 
1xbet hakuna shida kule tayar washairuhusu wasiliana na Mlipa mimi juzi nilitoa pesa kesi kama yako nikawasiliana na 1xbet wakasema kwao washauruhusu jana japo ilikuwa jpili nikaamka na hasira kwa Mlipa nikampigia simu jamaa hapokei nikamtumia sms kali ya kumwambia jtatu nakuja na polisi ofisini kwenu kumbe mmezoea kutusumbua na hela zetu haikuchukua hata dakika 15 naona kitu hicho kimethibitishwa wahuni sana hawa jamaa ukiwachekea
 
Mkuu naomba namba za hao mlipa.
 
Uyu jamaa anakutia moyo2 kifala ulipata iyo ela tupe marejesho apa
 
Uyu jamaa anakutia moyo2 kifala ulipata iyo ela tupe marejesho apa
Kifara kiaje mkuu mbona unaongea vitu ambavyo huvielewi mkuu hebu subiri basi akileta mrejesho uongee sasa upele umuwashe mwingine halafu unajikuna wewe nonsense
 
Muhuni ww au ndonyie mnatuibia ela ze2
Hahaha we naona umechanganyikiwa nimegundua kwa nini unalialia daiky hapa jukwaani na utaendelea kuliwa na mhindi mpaka akili ikae sawa kosa langu nini hapo kumsaidia mtu no au halafu unalalamika utadhani wewe ndo ulieomba acha uzwazwa basi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…