2jabway
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,257
- 1,398
Naona mimba changa inakusumbua wewe sio bureNtakutia vitasa
Naona mimba changa inakusumbua wewe sio bureNtakutia vitasa
Watu tumeibiwa ela ze2 UNAANZA LETA MASIHARA APANaona mimba changa inakusumbua wewe sio bure
Sema umeibiwa wewe sio mmeibiwa na nani tatizo unakurupuka tu na utaibiwa sana na sio kuibiwa tatizo ujuaji badala ya kuuliza wajifanya unajua haya kaa na ujuaji wako sasaWatu tumeibiwa ela ze2 UNAANZA LETA MASIHARA APA
Aisee 1xbet ni tatizo kama kuna mtu anaona sisi tunazingua kuna siku atakuja kujuta maana mimi leo saa 6 usiku nimefanya malipi ya kuweka hela kupitia airtel money pesa kwenye acount imetoka ila 1xbet aijafika napiga sim kwa customer care wananiambia nisubirie asubuhi hii tena nimeweka kupitia vodacom na yenyewe aijafika na meseji voda wameleta aisee wadau kuweni makini na mrusi nimeona bora nikomae na sportpesa tuIyo pesa ndio kwaheri mm pia ad Leo nina jasira wamemeza, pesa zangu ao xbet AF ukisaambia wa2 umu wanakuona, unazingua ngoja liwakute
Alafu kuna watu wanaleta masihara ngoja ili swala liwakuteAisee 1xbet ni tatizo kama kuna mtu anaona sisi tunazingua kuna siku atakuja kujuta maana mimi leo saa 6 usiku nimefanya malipi ya kuweka hela kupitia airtel money pesa kwenye acount imetoka ila 1xbet aijafika napiga sim kwa customer care wananiambia nisubirie asubuhi hii tena nimeweka kupitia vodacom na yenyewe aijafika na meseji voda wameleta aisee wadau kuweni makini na mrusi nimeona bora nikomae na sportpesa tu
Mimi mwanzo nilikua nawabeza watu wanaolalamika nawaoma wazushi lakini mimi sasa hivi imenitokea mara tatu na hii ya leo aisee kuweni makini sanaAlafu kuna watu wanaleta masihara ngoja ili swala liwakute
Pole sana mkuu,tatizo sio kampuni ya 1xbet naomba nikusahihishe hapo kwanza tatizo kubwa ni hawa Mlipa ambao wapo katikati ya sisi na 1xbet meabs ukituma pesa au kutoa pesa lazina ipitie kwao ndo ifike kwako au 1xbet,1xbet ni kampuni makini sana lakini jaribu kufuatilia pesa yako utaipata kuna no aliiweka mdau humu ya ifisi za mlipa itafute upige ni ya mezani waambie unatak kuongea na boss wao pesa yako utaipata usiiache unaanzaje kuwaachia pesaAisee 1xbet ni tatizo kama kuna mtu anaona sisi tunazingua kuna siku atakuja kujuta maana mimi leo saa 6 usiku nimefanya malipi ya kuweka hela kupitia airtel money pesa kwenye acount imetoka ila 1xbet aijafika napiga sim kwa customer care wananiambia nisubirie asubuhi hii tena nimeweka kupitia vodacom na yenyewe aijafika na meseji voda wameleta aisee wadau kuweni makini na mrusi nimeona bora nikomae na sportpesa tu
Saiv. Nimelipa mara tatu hela inapotelea juu juuPole sana mkuu,tatizo sio kampuni ya 1xbet naomba nikusahihishe hapo kwanza tatizo kubwa ni hawa Mlipa ambao wapo katikati ya sisi na 1xbet meabs ukituma pesa au kutoa pesa lazina ipitie kwao ndo ifike kwako au 1xbet,1xbet ni kampuni makini sana lakini jaribu kufuatilia pesa yako utaipata kuna no aliiweka mdau humu ya ifisi za mlipa itafute upige ni ya mezani waambie unatak kuongea na boss wao pesa yako utaipata usiiache unaanzaje kuwaachia pesa
Jamaa apokei simSaiv. Nimelipa mara tatu hela inapotelea juu juu
Tumia MasterCard ya mpesa mbona mnasumbuka sanaSaiv. Nimelipa mara tatu hela inapotelea juu juu
Tumia MasterCard ya mpesa mbona mnasumbuka sana
Umeweka sh ngapAisee 1xbet ni tatizo kama kuna mtu anaona sisi tunazingua kuna siku atakuja kujuta maana mimi leo saa 6 usiku nimefanya malipi ya kuweka hela kupitia airtel money pesa kwenye acount imetoka ila 1xbet aijafika napiga sim kwa customer care wananiambia nisubirie asubuhi hii tena nimeweka kupitia vodacom na yenyewe aijafika na meseji voda wameleta aisee wadau kuweni makini na mrusi nimeona bora nikomae na sportpesa tu
Airtel money buku 5 voda buku 3Umeweka sh ngap
Tatizo so 1xbet unawangizia tu tatizo no mitandao ya simu(mlipa)Yale yale kama hudumu ya m-pesa iko safe tatizo ni hawa jamaa m_lipa
Ahsante sana mkuuMpigie hyu jamaa asipopokea mtumie sms ya namba ulotumia kutoa pesa yako ni 0758460813
Kabla hujaweka ulifuata taratibu zoteAirtel money buku 5 voda buku 3
Sijaanza leo kutumia 1xbet ninajua mipangilio yote inshort nimefuata taratibu zoteKabla hujaweka ulifuata taratibu zote
Tuma screet shot ya muamala na tuma screenshot ya salio kwenye whatsapp ya mlipa na utoe maelezo pesa yako inarudishwaSijaanza leo kutumia 1xbet ninajua mipangilio yote inshort nimefuata taratibu zote
Tuma screet shot ya muamala na tuma screenshot ya salio kwenye whatsapp ya mlipa na utoe maelezo pesa yako inarudishwa