Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ushauri wakuu nataka niruke na odds mbili hizi nipate angalau kamtaji
IMG_20181015_105455_983.jpg
 
Kama nilivyoahidi, Naomba wale ambao wana matatizo na 1xbet kupitia kampuni ya MLIPA Wanitumie records za Mihamala Yao Ili nifike ofisini Kwao Watueleze tatizo nini.

Usikubali hela yako Ipotee..Hata kama ni miezi 6 nyuma.

Nitumie Inbox.
 
Unnakwenda kweli mkuu tukutumie
 
Mkuu Danny Massawe Mimi Pia hili tatizo limenikuta.Leo ni siku ya 3 hela haijawa confirmed na Operator, Nimechat na Customer Care wa 1xbet wananiambia kuna tatizo la System.

Nimetuma meseji Pia Kwenye e-mail Yao ya info-en@1xbet wamenijibu wanafanyia kazi tatizo langu.1XBET Wanazingua siku hizi.
Salamu wadau , naomba mwenye uelewa anisaidie

-Wadau nimedraw pesa Jana usiku hiyo 45,000 na 5,000 ikakubali ikawa approved kama inavyoonekaka.
-ila kwenye transaction history hiyo miamala miwili ya juu ya 45,000 na 5,000 inaonyesha haijawa confirmed na mobile operator (na pesa bado sihapata)kama hiyo ya chini ambayo imeandikwa confirmed by mobile operator (mpunga umeingia kwenye akaunti.)

Cjawahi kutana na hili tatizo na nidraw Mara nyingi sana

Tatizo hapo lipo kwa nani?

View attachment 898560View attachment 898561
 
Kama nilivyoahidi, Naomba wale ambao wana matatizo na 1xbet kupitia kampuni ya MLIPA Wanitumie records za Mihamala Yao Ili nifike ofisini Kwao Watueleze tatizo nini.

Usikubali hela yako Ipotee..Hata kama ni miezi 6 nyuma.

Nitumie Inbox.
Naku inbox vp mkuu naenda seem gan mbona sion
 
KiUkweli hata mi naona tatzo lipo kwa hawa Mlipa ndo wangese hela zetu nyingi zinaishia kwao mi siaamini kama kampun kubwa kama hyo worldwide watufanyie mambo ya kishamba toka...=/* jana nimedeposit hela lakn mpaka sasa siiioni.. na mbona wanaofanya miamala yao kupitia bank hawana longolongo kama hzi za Mobile
 
Mkuu kwenye hela yangu ya Jasho sina utani nayo..by the way Ofisi zao zipo karibu na eneo langu la mihangaiko...So nikipata Records nitaleta Mrejesho hapa Jukwaani.

Nitahakikisha na Mihamala yenu inashughulikiwa nikiwepo palepale.
Unnakwenda kweli mkuu tukutumie
 
Mkuu kwenye hela yangu ya Jasho sina utani nayo..by the way Ofisi zao zipo karibu na eneo langu la mihangaiko...So nikipata Records nitaleta Mrejesho hapa Jukwaani.

Nitahakikisha na Mihamala yenu inashughulikiwa nikiwepo palepale.
Mkuu mbona kutuma shotscreen inagoma kwenye meseji
Screenshot_2018-10-15-11-20-56.jpeg
 
Aisee 1xbet ni tatizo kama kuna mtu anaona sisi tunazingua kuna siku atakuja kujuta maana mimi leo saa 6 usiku nimefanya malipi ya kuweka hela kupitia airtel money pesa kwenye acount imetoka ila 1xbet aijafika napiga sim kwa customer care wananiambia nisubirie asubuhi hii tena nimeweka kupitia vodacom na yenyewe aijafika na meseji voda wameleta aisee wadau kuweni makini na mrusi nimeona bora nikomae na sportpesa tu
Hawa jamaa wa 1xbet kila siku wanalalamikiwa, wasije kuwa ni DECI nyingine. Mkumbuke waliopanda mbegu DECI, mbegu zao zote zilizama jumla 😳🙄😵
 
Nilichojifunza....kwenye betting bahati Ni most valuable asset Sana..Mimi huwa nafunga mizigo naweka lakii,40,50 naliwa Jana nimeweka 1700 kanji Kali machozi ya damu team 7 odds ndogo 1.78...zote zilikuwa mbili.ndo maana nasema tuombe bahati tu unaweza kuwa na skills ,ila Bila mtoto bahati utaliwa tu
 
Back
Top Bottom