Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

za mapema..
spartak moscow youth WIN.
Thanh Hoa WIN
Bederan Tehran WIN
Lada Tolyati WIN
Nosta Novotroisk WIN
 
Mkuu iweke vizuri hii sijaielewa

spartak moscow youth atashinda yupo ugenini na zenit youth na mjinga yule kakosa penati mapema
Thanh Hoa atashinda yupo ugenini anacheza na becamex binh
Bederan Tehran atashinda yupo nyumbani anacheza na Qashqai shiraz
Fc Lada Tolyati atashinda yupo nyumbani anacheza na FC ufa 2
na pia FC Nefteskhimik atashinda yupo ugenini kwa Nosta Novotroitsk

need i say more?
 
Hiv naweza kuweka pesa sportpesa kwa mtando mwingine mfano sportpesa nimejiunga na airtel nataka kuwekapesa kupitia voda inawezekana

kwa sportpesa haiwezekani,nilishawahi kuwapigia ndo wakaniambia hivyo
 
Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…