Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Game ya Brazil imegoma goli mbili tu wakuu yani apa nimepaushwa nanimepauka kweli yani mweupeee kama unga wa sembe nilifata mkeka wajamaa game3 tu zitoe goli mbili imegoma moja tu ya Brazil nimepigwa 70 yangu bora ningemrushia hata askari polisi anae omba rushwa barabarani
 
Pole mkuu
 
Mbona imetoa goli mbili au mm naona vibaya
 
Leo nimeliwa mikeka yote kila nkibet napigwa mpk roho inataka kutoka
KILA SIKU ZAIDI YA TIMU 50 ZINASHINDA MATCH, MAAJABU NI PALE TUNAKOSA MATCH 3 TUU ZA UHAKIKA KILA SIKU ZA KUBET NA KUSHINDA. HUU MCHEZO MGUMU.
Mwaka wangu was tatu huu kwenye kubeti
Sijaona "master" wa kubeti. Hakuna.
Kila mtu anapigwa vizuri Sana. Togauti tuu Ni staili gani anapigwa ila wote tunapokea vichapo Kama kawa.
Tujipe moyo tusonge mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…