Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

17/10/2018
Saa1 na nusu Usiku
League : Italy : Serie C
Ternana vs Albiomleffa
Tip 1 - HT/FT - Home win/Home win - Odds 2.84
Extratip CS - (1-0) Odds 3.48 or (2-0) Odds 9.68
 
TIRA v Semarang

1st half under 0.5

Risky thou!
Bring back my stake!
Screenshot_2018-10-17-13-27-01.jpeg
 
Jamani mbona Leo kila nikijaribu kubet premier bet nikiweka dau zaid ya 500 inanigomea inaniambia maximum stake nayotakiwa kuweka isizid 500 ni Mimi tu mwenye hili tatizo au?
 
Jamani leo 1xbet hakuna kutoa pesa maana nimejaribu mitandao yote fedha haiwekwi kwenye account
 
Pole sana aisee me pia leo niliamka hasubuh nina kama buku 2 tu kwenye accnt nikachezacheza viinplay vya hapa na pale mpaka kufikia saa nikapata elfu 18 nikanogewa nikaendelea kufikia saa 7 nikabakiwa na sh 650 nikajivuta nayo mpaka jion taifa starz wanafunga goli la kwanza nikafikisha sh elfu 14 utamu ukazid nikaendelea bas mpaka mpira wa starz unaisha kwenye accnt nimebakiwa na sh 0.95 hapa mimacho imenitoka kama nimefumaniwa.
Daahhh, story za kubeti hadi raha. Nikiwa na stress napitia huku nacheka mbaya.
 
Back
Top Bottom