Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

won
1539780621564.png
 
WhatsApp Image 2018-10-17 at 17.09.48.jpeg

wadau nauliza hili mara mbilimbili hamunipi jibu tangu asubuhi leo nikijaribu kuweka mkeka premierbet nikiweka dau la zaidi ya sh. 500 inanigomea(inanipa huo ujumbe kwny picha) ila nikiweka dau la 500 kamili au pungufu ndo inakubal je tatizo linaweza kuwa ni nini
 
View attachment 901124

Muda huu nimeweka stake ya 10k imekubali sasa sijui tatizo lako linasababishwa na nini. Pengine unaepushwa kupigwa mkeka huo kama vp potezea leo huenda kuna mwanaizaya anataka kutembea nao.
 
WAKUU M LIPA WANAOTUSAIDIA KUMBE NI PERSONAL NAMBA ZILE KWAHYO WANASEMA WAKIWASAIDIA MUWE MNASHUKURU ATALEAST NA SIO KUWATUKANA KWANI WANAWEZA WASIWASAIDIE PIA
 
Back
Top Bottom