Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Website ya 1xbet leo ina shida gani??
Screenshot_20181017-215928.jpg
 
Hii 1xbet nimeamini sina nyota nayo mana haiwezekan nibet kule miez 2 na cjawah kula zaid ya 35 juz na wameichukua tena; kuna timu niliona huku nikachagua chache nikabet premeir bet; nikapata hela ya kulipia Supplementary ndy nimefanya leo, na chenchi zimebaki. Ni nzuri ila bahat nao naona cna. Khaaa wengn naona mna enjoy
Mkuu mm nilisgasema iyo moja bet ni mara chache sana nakula kila nikiweka mtaji lazima uishie uko
 
Back
Top Bottom