Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1539845954520.png
tofauti rangi tu
 
Shida wabongo tunatumia muda mwingi kuchambua vitu hasahasa haya makampuni na wadau wanakurupuka sana kuingia kwenye maampuni haya inafika muda makampuni yanaonekana mabovu na wadau kwa maoni tumia muda kujifunza usisikilize ya watu
 
Wako fresh kama unawithdraw inatake kama dk 3 mpaka 10 sio zaidi ya hapo. Lkn kiwango cha chini cha kudeposit 1500 tzs na kiwango cha wisho kidogo cha kutoa ni 3500
Unamuda gani tangu umeanza kutumia hiyo kampuni?
 
Hii 1xbet nimeamini sina nyota nayo mana haiwezekan nibet kule miez 2 na cjawah kula zaid ya 35 juz na wameichukua tena; kuna timu niliona huku nikachagua chache nikabet premeir bet; nikapata hela ya kulipia Supplementary ndy nimefanya leo, na chenchi zimebaki. Ni nzuri ila bahat nao naona cna. Khaaa wengn naona mna enjoy
Mkuu had supplementary mnalipiaa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom