Hata kwetuIla si Kenya peke yake au hata kwetu ?
Bado mbonaWamerud tayar
Hata kwetu
Nafikiri ni haohao 1xbet katika jina tofauti.
Hakuna tofauti yoyote mkuu ni njia tu za kibiasharaYeah ni kweli Mkuu...hata njia za malipo ni zilezile na namba ya kampuni ni ileile 400700...
Sijui tofauti Yao ni nini..
kabisa hao ni 1xbet kwa jina lingine maaana kila kitu ni kile kileNafikiri ni haohao 1xbet katika jina tofauti.
Kwa hiyo malipo lazima yapitie Mlipa tenaYeah ni kweli Mkuu...hata njia za malipo ni zilezile na namba ya kampuni ni ileile 400700...
Sijui tofauti Yao ni nini..
Unamuda gani tangu umeanza kutumia hiyo kampuni?Wako fresh kama unawithdraw inatake kama dk 3 mpaka 10 sio zaidi ya hapo. Lkn kiwango cha chini cha kudeposit 1500 tzs na kiwango cha wisho kidogo cha kutoa ni 3500
Mkuu had supplementary mnalipiaa[emoji16][emoji16][emoji16]Hii 1xbet nimeamini sina nyota nayo mana haiwezekan nibet kule miez 2 na cjawah kula zaid ya 35 juz na wameichukua tena; kuna timu niliona huku nikachagua chache nikabet premeir bet; nikapata hela ya kulipia Supplementary ndy nimefanya leo, na chenchi zimebaki. Ni nzuri ila bahat nao naona cna. Khaaa wengn naona mna enjoy
Mkuu had supplementary mnalipiaa[emoji16][emoji16][emoji16]
Hakika1xbet ina virtual kibao