ilemi mahome
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 883
- 619
Malaga kagoma tuu..kutoka fresh nyingine boomHuwa nina imani mno na kenikia zako
kwanini wasicheze wenyewe kama ni za kweliKuna wakenya wanauza Odds 120 elf 20000 VIP 100000
Hao ni matapeliKuna wakenya wanauza Odds 120 elf 20000 VIP 100000
Wape win or draw wote
So sad leo nayo ckuMalaga kagoma tuu..kutoka fresh nyingine boom
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona moyo unavuja damu. Leo nayo ni siku mkuu.jana club brugge amenichania mkeka wangu leo nampumzika kwanza...................................
Yule kashaishiwa mipangojana club brugge amenichania mkeka wangu leo nampumzika kwanza...................................
People do hate this word "Risky"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]In play
Jeju united v Seoul
Total Over 0.5
Odds 2+
Risky!
WOOON MKAWITHDRAW, AISEEEEEWeka simuView attachment 904377
Oyooooooooo ndiondioWOOON MKAWITHDRAW, AISEEEEE
Kuna wakenya wanauza Odds 120 elf 20000 VIP 100000
Ni matapeli Kumbe??Thubutuuu na ukipigwa ...unakua umepigwa kotekote