Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
PeSA ZANGU JUVEI
Dah yaani nimepanic vibaya mno
hongera mwanangu leo vilio kila baada ya nyumba mbiliHaaah nmepiga first half Mzee
Leo Mzee haikuw rahis kwanza m ROMA sikupenda kuamin anachofanyaahongera mwanangu leo vilio kila baada ya nyumba mbili
Daahhh,. Kubeti. ..... Kazi ngumu kuliko kumteka mo.Si juve ka drawwww
Pole Sana. Don't panic. Mambo yatakaa sawa. Kesho pia Ni siku. Tuliza akili pata usingizi.Dah yaani nimepanic vibaya mno
Siwezi kutuliza akili kirahisi yaani pesa zote zimeisha mpk nlizokopa hivi juve jamani dahPole Sana. Don't panic. Mambo yatakaa sawa. Kesho pia Ni siku. Tuliza akili pata usingizi.
😂😂😂😂😂 hakuna siku nimepata raha za kucheka kama leo mliopunwa wotee leo MKOMEEE na bado kesho mtapunwaaaaaa sanaaaa wajanja tunasubiri game za kuanzia jumatatu hazina tension kubwa.Siwezi kutuliza akili kirahisi yaani pesa zote zimeisha mpk nlizokopa hivi juve jamani dah
Kaza roho mama umeamua kuingia kwenye biashara inabidi ukubaliane na hali vinginevyo utakufa kwa pressureSiwezi kutuliza akili kirahisi yaani pesa zote zimeisha mpk nlizokopa hivi juve jamani dah
Pdidy na m-odd yake ya scammers leo holaaaaaaa hana jipyaaa aiseeeee naanzisha betting shop kinyerezi
We Jamaa una cheka wenzako kisa hawaja ambulia chochote leo huu si uungwana embu jirekebishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna siku nimepata raha za kucheka kama leo mliopunwa wotee leo MKOMEEE na bado kesho mtapunwaaaaaa sanaaaa wajanja tunasubiri game za kuanzia jumatatu hazina tension kubwa.
.
Usipanic sana mkuu huu mchezo hauhitaji hasira