okeeee sawa.Hapana mkuu.. Kwa mfano Liverpool anaongoza kwa goli moja, mimi naweka over 1.5 yenye odds 1.125 kwa million moja. Najua kwa mechi kama hii haliwezi kosekana goli jingine kipindi cha pili.
Imechanwa, HT 0-0hii ni kama nimeshatoa japo imenipita
Hao lazma ije iyoLiver over 2.5 [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
half tm Watford alikua anaongozaImechanwa, HT 0-0
Sure...Nilijua BHAhalf tm Watford alikua anaongoza
Daaah atarii hiiLiver over 2.5 [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Liver ametoa Over 2.5Daaah atarii hii
DcDortmund kaacha mtu hai kweli humu?
amekwenda na 10k yangu maninaDortmund kaacha mtu hai kweli humu?
WON kachukue pesa kama ulifataView attachment 912856
2/3 System
Pole sana mkuu! Mimi labda juventus aniue ila Dortmund nimeruka kiunzi chake salama kabisa.amekwenda na 10k yangu manina
Saa ngap is mkuuDont miss it
Kuna tips nilitupia asubuhi nikaweka dortmund draw nacheka tu sasaDortmund kaacha mtu hai kweli humu?