Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1540662401528.png
 
Mkuu nipe mbinu unatumia option ipi?
Mkuu ni mbinu ya kawaida tu, ila sichezi normal wala double chance...

ni total goals pekee Kwa mechi ama individual total..pia sio zaidi ya mechi mbili..

Total odd ni 1.2-1.3.
Nikishinda huwa naweka pesa yote Kwa next prediction.

Ni kula mfululizo tu.. Ila nkawa natest zile za tamaa japo Kwa buku, nkawa nachezea vipigo.. Kama uonavyo hapo chini.

Screenshot_20181027-201543.png
 
Huyu Refa anayechezesha mechi ya Celta vigo na Eibar ni mshenz sana mana hatoi kad. Watu tunaobet kadi tuna kazi sana. Celta vigo na mwenzake hamna kadi mpk saiv dakika ya 85 saiv na mm nataka over 1.5 cards na ni wao tu nasubr
 
Kadi ipo mkuu utapata
 
Kuni mitimu injikuta inajua kufuuunga...yan nimempa liver un4.5 eti yamepitiliza mpaka sasa nipo tuu natoa macho yeye ndo kachana
 
Back
Top Bottom