Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole mkuu maama liver alikuwa mtu wa kimoko
Acha tu man bora zichane team nyingi kuliko ichane moja inauma kishenz
Screenshot_20181027-213034.jpg
 
Naomben mnisaidie ivi toto play wanaanza kulipa kuanzia mechi ngap za ushind mana hapa nmebet ad ss nna mechi tatu mkononi nasubil nyngne
 
Hongera kwa watu wa youngboys[emoji23][emoji16][emoji3]hali ilikuwa tete
 
Nilikuwa naamini tu nikikuta mkeka una nyekundu... Basi umeliwa... Leo Mungu saidia.. Leo Nimeangalia hii mechi ambayo imewekewa lost..nimecheza under 67.5 ..na Mwaginghi imeisha na rebounds 60...lakini wameniwekea lost.... Na zimebaki Mechi tatu nimpige... Lakini mechi imeshinda wameweka lost..... Angalieni Mikeka yenu vizuri.. Hawa 1xbet nao ni wezi tu.... Nilikuwa nafuta mikeka huu siufuti... Kama ushahidi... Japo ujinga wetu hatujui Kama kasajiliwa Tanzania ama laaaa lakini mnaoweka mizigo humu 1xbet Mimi hiii ni mara ya tatu... Wezi wezi wezi
Screenshot_20181027-194616.png
 
Jameni ndugu zangu,
Mi sina roho ya ubahiri,wala uchoyo.
Huu hapa in mkeka wa kesho,tarehe 28/10/208. — 29/10/2018.
Nimeupost usiku huu ili wewe mwanabetting uuhakiki,uuchambue na kuuchukulie hatua.

Ni mkeka mzuri,wenye Odds 4+ najua,
Mtaalamu wa kubeti ushaelewa cha kufanya.
Najua keshokutwa utanifuata DM kunishukuru endapo Mungu akipenda.
Nawatakieni kila la kheri,
Screenshot_20181027-145543.jpeg
 
Back
Top Bottom