Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilikuwa naamini tu nikikuta mkeka una nyekundu... Basi umeliwa... Leo Mungu saidia.. Leo Nimeangalia hii mechi ambayo imewekewa lost..nimecheza under 67.5 ..na Mwaginghi imeisha na rebounds 60...lakini wameniwekea lost.... Na zimebaki Mechi tatu nimpige... Lakini mechi imeshinda wameweka lost..... Angalieni Mikeka yenu vizuri.. Hawa 1xbet nao ni wezi tu.... Nilikuwa nafuta mikeka huu siufuti... Kama ushahidi... Japo ujinga wetu hatujui Kama kasajiliwa Tanzania ama laaaa lakini mnaoweka mizigo humu 1xbet Mimi hiii ni mara ya tatu... Wezi wezi wezi
View attachment 913150
Nilichogundua nikutokucheza game ambazo azipo livescore
 
Jameni ndugu zangu,
Mi sina roho ya ubahiri,wala uchoyo.
Huu hapa in mkeka wa kesho,tarehe 28/10/208. — 29/10/2018.
Nimeupost usiku huu ili wewe mwanabetting uuhakiki,uuchambue na kuuchukulie hatua.

Ni mkeka mzuri,wenye Odds 4+ najua,
Mtaalamu wa kubeti ushaelewa cha kufanya.
Najua keshokutwa utanifuata DM kunishukuru endapo Mungu akipenda.
Nawatakieni kila la kheri,View attachment 913161
Hapo kwa man city weja over 1
 
Jamaa wapo makini sana, jaribu kuchunguza yawezkana wewe ndie uliekosea
Nilikuwa naamini tu nikikuta mkeka una nyekundu... Basi umeliwa... Leo Mungu saidia.. Leo Nimeangalia hii mechi ambayo imewekewa lost..nimecheza under 67.5 ..na Mwaginghi imeisha na rebounds 60...lakini wameniwekea lost.... Na zimebaki Mechi tatu nimpige... Lakini mechi imeshinda wameweka lost..... Angalieni Mikeka yenu vizuri.. Hawa 1xbet nao ni wezi tu.... Nilikuwa nafuta mikeka huu siufuti... Kama ushahidi... Japo ujinga wetu hatujui Kama kasajiliwa Tanzania ama laaaa lakini mnaoweka mizigo humu 1xbet Mimi hiii ni mara ya tatu... Wezi wezi wezi
View attachment 913150
 
Nilichogundua nikutokucheza game ambazo azipo livescore
hii ni game kubwa kwenye kikapu... Ipo hata huko livescore... Flashscore, sofascore kotekote unaikuta... Na hii sio mara moja imenitokea hii mara ya 3... Sikuwa natilia maanani.. Nikionaga nyekundu tu Najua nimeliwa nafuta mikeka... Sasa Leo Nimekaa naangalia Mechi nzima....
 
Kuna wadau humu wa nba?
Screenshot_20181027-223348.jpg
 
Jamaa wapo makini sana, jaribu kuchunguza yawezkana wewe ndie uliekosea
Umeuona mkeka nilioattach!!??..... Nitafutie matokeo ya hiyo Mechi iliyotiwa nyekundu...under 67.5 rebounds... Sasa jichoshe kutafuta matokeo yake... nacheza kikapu siku zote na kwa NBA natumia Flashscore kwa ligi za ulaya sofascore... Kwa kuwa mkeka nimeuweka... Naomba nikosoe kwa matokeo niliyochagua ni under 67.5 rebounds.... Kama zilizidi Tafadhali Nipe source.....
 
Hiv rebound ndio mipira ipi kwenye busket mkuu? Naitaman sana ila naishiaga tu kucheza over/under kwa quarter au game nzima, nieleweshe mkuu tafadhar.
Umeuona mkeka nilioattach!!??..... Nitafutie matokeo ya hiyo Mechi iliyotiwa nyekundu...under 67.5 rebounds... Sasa jichoshe kutafuta matokeo yake... nacheza kikapu siku zote na kwa NBA natumia Flashscore kwa ligi za ulaya sofascore... Kwa kuwa mkeka nimeuweka... Naomba nikosoe kwa matokeo niliyochagua ni under 67.5 rebounds.... Kama zilizidi Tafadhali Nipe source.....
 
Club Brugge atashinda au tuuze mkeka?
Mkeka wangu ulikuwa na PSV na Brugge wote direct win
 
Back
Top Bottom