Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,231
Sambamba kabisaPesa hiyoView attachment 913389
Sambamba kabisaPesa hiyoView attachment 913389
Bet lost mkuuPesa hiyoView attachment 913389
Hiyo over una place match ikiwa dk ya ngapi? Na unaangalia vigezo gani kwamba match inauwezekano wa kutoa goli?Mkuu ni mbinu ya kawaida tu, ila sichezi normal wala double chance...
ni total goals pekee Kwa mechi ama individual total..pia sio zaidi ya mechi mbili..
Total odd ni 1.2-1.3.
Nikishinda huwa naweka pesa yote Kwa next prediction.
Ni kula mfululizo tu.. Ila nkawa natest zile za tamaa japo Kwa buku, nkawa nachezea vipigo.. Kama uonavyo hapo chini.
View attachment 913060
Mkuu,kuna ujumbe wakoPesa hiyoView attachment 913389
Mkawithdraw.... HahaaMkuu,kuna ujumbe wako
Mkuu mimi naona hiyo ndio strategy nzuri ya kuwa na winning nyingi kuliko kuweka 1,000 ule 10,000...Utakesha.
Binafsi kuliko kubet Timu 5 Sijui Odd 3+ bora nisibet Sababu nitakua namchangia Mrusi tu.Probability ya kuwin ni ndogo Ama hakuna kabisa.
Ila ikitokea amekubutua basi amekubutua kweli maana bahati mbaya zinatokeaga mkuu hiyo 70k ikipigwa mara 1 tuu hata kama umekula mara 10 mfululizo maana yake unaanza upyaa kabisa
Nmecheza timu 9 leo ila monaco pek yake kaniletea miMAVI
leo mbali na single nitacheza hivi kwa medium stakeLeo hakikisha hizi timu unaziweka kwenye mikeka yako ziko form mbaya.
Arsenal
Chelsea
Spal > huyu mbali ya kuwa anapoteza match lakini hapotezagi kizembe lazima nae apate walau goal moja. So waweza weka gg or home team to score/ over 0.5.
Ahahahaaaaa jamanii monaco cyo mtu kabsaaMpigwe tuu na Mliwe kabisa mbali empty kabisa [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] kila siku mnatangaziwa Humu Monaco hafai mnaenda tuu kichwa kichwa hiyo ndo faida yake sasa na Muendelee kupigwa
[emoji120] [emoji120]Pesa tuichanganue kwanzaView attachment 913490
Mnisaidie hapa[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] Hivi awa 1x bet hawana namba ya sm ukitaka kuwatafuta?..
Ww monaco unamfata wa nn kama cyo matatizo unatafuta tuuMonaco hawa...View attachment 913202
Hii hatari san ipo siku utaanza moja... Chomoa percent fulani ya pesa unayopata..Mkuu ni mbinu ya kawaida tu, ila sichezi normal wala double chance...
ni total goals pekee Kwa mechi ama individual total..pia sio zaidi ya mechi mbili..
Total odd ni 1.2-1.3.
Nikishinda huwa naweka pesa yote Kwa next prediction.
Ni kula mfululizo tu.. Ila nkawa natest zile za tamaa japo Kwa buku, nkawa nachezea vipigo.. Kama uonavyo hapo chini.
View attachment 913060
Alimkazia club brugge leo dijon anamshindwaje??Ww monaco unamfata wa nn kama cyo matatizo unatafuta tuu
Jaman hamuoni hiiiiiiiii???[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] Hivi awa 1x bet hawana namba ya sm ukitaka kuwatafuta?..