Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aiseeeeeee!!!!
Screenshot_20181103-013749~2.jpeg
 
[emoji41][emoji41][emoji41] Mimi ,p didy,mwakey pamoja na Mr void..Tunawatia asbh njema...

Ila Mr void...Mungu akina "aiseee" wewe Ni mtu mhimu Sana Katika Hili jukwaa...

Ombi langu kwako..usichoke kushea na sisi "Kila" mkeka unaoweka mkuu [emoji120] ninaomba San maana wengine sometimes huwa hatuion ukiipost..tofaut na kuleta mrejesho....
Ninaomba San [emoji120][emoji120]
Baada ya kusema hayo...niwatakien asubh njema Katika harakat za kusaka "Tonge"
 
[emoji41][emoji41][emoji41] Mimi ,p didy,mwakey pamoja na Mr void..Tunawatakiaa asbh njema...

Ila Mr void...Mungu akubarik "aiseee" wewe Ni mtu mhimu Sana Katika Hili jukwaa...

Back
Top Bottom