Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Saiv tumeungana huku aisee wale wa kibongo wananizingua nimedepost hela mcheza mpaka saiv haijaingia
Screenshot_20181104-202708.jpeg
 
Hapa inakuaje mtu anashindwa nipa goli hata moja au lile somo mimi sijaliewa vizuri
 

Attachments

  • IMG_4970.JPG
    IMG_4970.JPG
    126.8 KB · Views: 33
Wakuu,hua mnafanyaje kama ume withdraw pesa na hawajakutumia...nmetoa hela toka saa saba mchana had mda huu hawajanitumia,1xbet
Hakuna step uliyokosea kwel? Mie tangu mchana nimetoa pesa mara 2 ndani ya 10' mzigo tayari Tigopesa na sms ya M-Lipa nyongeza
 
Back
Top Bottom