Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Epukaa kutoa pesa mda ambao unajua watu wapo busy na kubet au game nying zmeshinda mpaka admin atulie ndo atatuma
ni mda gani sasa muafaka mkuu wa kutoa au kuweka hela ,mana hizo zote ni shughuri za office zao,au kuchukua pesa ni bora kuliko kutoa?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimefurahi kukuona tena kwenye jukwaa.. tambua kwamba wewe ndo msababishi mkubwa kwangu kuingia kwenye huu uwekezaji.. Bado nakuhitaji sana... Usipotee muda mrefu.
Nipo mkuu,
Sijahama, bado niko kwa mrusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…