Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani kwa kweli dooooh.... Liva nilimpiga ban ya maisha huyo sijui imekuaje doh
Liver, man u, arsenal na real madrid hata wakishinda game kumi mfululizo hawatokaa waone naeka pesa yangu kwao.
 
Kuna uliofuata hapo? Tuanzie hapo kwanza.
Niwe tu mkwel cjafuata na leo cjabet mkeka wowote ule ila mm nmefurah tu huo uamuz wako na naona wakuu mbali mbali leo kwao na wenyew kuna green inapendeza kwa kwel
 
View attachment 923974wakuu kwa anaefahamu hii option ya official added time hebu anichanganulie
Mzeee izo si unaona ni zile dakika za nyongeza
Kipind cha kwanza over 1.5 ziongezwe dk 2 chin ya hapo ume liwa
Pia kuna dakk za nyongeza Ft n ww tu kuchagua

NB
Hii option hua wana iweka kweny baadhi ya games sio mech zote utakuta iyo option kwa hyo beba iyo ya first half
 

Nashukuru kwa somo mkuu

Ngoja nitembee na hyo ya over ktk 1half
 
Na nyie nani sijui kama mmeamua kumfunga liver ongezeni goli basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…