Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii game ya Liverpool naiangalizia kwenye channel ya kiarabu vipi huko kwenye supersport liver anaongoza ngapi?.. Ila Huyu mtangazaji mwarabu ana manjonjo sana.
Huyu mbwa liva mpuuzi mmoja huyu
 
Akichana utaushona Liver na monaco wanaunguza kabisa mikeka... Na wanajitahidi iungue wasiache ushahidi kama watekaji wa Mooo
Yaani kwa kweli dooooh.... Liva nilimpiga ban ya maisha huyo sijui imekuaje doh
 
Ushauri nataka kujilipua hapa ☠️☠️☠️
 

Attachments

  • IMG_3146.JPG
    IMG_3146.JPG
    32.8 KB · Views: 36
Huyu Liverpool atakuwa ameingia ubia na Europa,sio kwa kufungwa huko na hicho kitimu
 
Back
Top Bottom