Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

27 odd 99%
Screenshot_20181106-191708.jpeg
 
Nimejaribu kubet 1xbet . nimeshindwa kupata option ya multbet, inapatikana single tu. Wataalamu nisaidieni
Maltibet ukishabet mechi ya kwanza ukishaplace chini yake utaon maneno cheki neno Add bet ndio utaaadi kila mechi unayotaka then utaweka pesa kama unavyojua
 
Kina sizitaki tena,na sidhani kama ntakuha betia kona,
Jana zimenipukutisha sana kidogo niishiwe, imagine mechi unaipa under 12.5 kona na wakati huohuo wana kona 5 tu second half tena dakika ya 73 hv,
Yani zikaanza kumwagika ka mvua ya elnino.
Mpaka dakika 90'+ wana kona 13 na mkeka kwaheri.
Kwahiyo ni bora nitumie njia nyingine tu katika betting na siyo kona mzee.
Ha ha ha pole sana kiongozi, kuzuia corner ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mchanga. Atleast uweke over
Mimi naweka corner ipatikane kuanzia dakika ya 76 na kuendelea.
 
Back
Top Bottom