Waliofuata WOONView attachment 923266
Nafurahi kusikia Kuna kitu umejifunza ingawa hawatabiriki lakini natizama hivo vigezo pamoja sanaNimejifunza kitu mkuu leo kumbe handcap zako unaichek ile quarter ya mwisho yupi ana dalili za kuiongoza ndo unatupia in favor yakee
Mkuu,hii kitu ulianza na mtaji kiasi gani? Changamoto zipi ulizipitia hapo awali mpka ukaja kuwa angalau expert.Nafurahi kusikia Kuna kitu umejifunza ingawa hawatabiriki lakini natizama hivo vigezo pamoja sana
Kina sizitaki tena,na sidhani kama ntakuha betia kona,Wale wa corner
View attachment 923248
Nafurahi kusikia Kuna kitu umejifunza ingawa hawatabiriki lakini natizama hivo vigezo pamoja sana
Ufafanuz kwny match ya atleticohii stake nliiokota pale Gal Bet akati naangalia Arsenal anavyompa shida Liverpool jumamosi.
Leo nimeamua niirudishe kwa wenye nayo.
sijui ka ntapongezwa au ntaadhibiwa.View attachment 922906
Kona ni hatari kwa afya ya mbetiji sometimes[emoji23][emoji23][emoji23]Kina sizitaki tena,na sidhani kama ntakuha betia kona,
Jana zimenipukutisha sana kidogo niishiwe, imagine mechi unaipa under 12.5 kona na wakati huohuo wana kona 5 tu second half tena dakika ya 73 hv,
Yani zikaanza kumwagika ka mvua ya elnino.
Mpaka dakika 90'+ wana kona 13 na mkeka kwaheri.
Kwahiyo ni bora nitumie njia nyingine tu katika betting na siyo kona mzee.
Mkuu naomba uwe unatuwekea code wengine hajui kuangalia hiyo mechi hata hizo handicap mtu unaona maajabu tu so plz ukituwekea na code utakuwa umetusaidia sana
mkuu awachelewi kukupiga burn soon.Waliofuata WOONView attachment 923266
Loss
mbona corner mindo huwa naona ni sels zaid than ayo maoption mengine.Kona ni hatari kwa afya ya mbetiji sometimes[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hebu tuchambulie game 4 za NBA leo usiku nikufate, maana kwa hiyo yako speed Mrusi atajuta ww kuifaham basketballLoss
mbona corner mindo huwa naona ni sels zaid than ayo maoption mengine.
Jana zimenigomea zaidi ya x 3mbona corner mindo huwa naona ni sels zaid than ayo maoption mengine.
Niliicheki kwenye system lakini sikuiona, Code number inarahisisha sanaLoss
Ntarudi kuwapa matokeoView attachment 923245