chendelela
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,145
- 1,013
Kipusa maoni yako tafadhari nijilipue
Eg. Ukichagua Both team to score and TO 3.5 YES maana take ni kwamba team zote zifungane na zitoe magoli Zaid ya matatu. TU 3.5 YES maana yake zifungane ila zitoe magoli chini ya 3!Alielewa hyo optionView attachment 923118
Asante kwa ufafanuzi mzee wa kutakatisha mahelaEg. Ukichagua Both team to score and TO 3.5 YES maana take ni kwamba team zote zifungane na zitoe magoli Zaid ya matatu. TU 3.5 YES maana yake zifungane ila zitoe magoli chini ya 3!
Nafikiri hiyo ni ashinde kwa tofauti ya magoli hayo hapo, labda zaidi au pungufu ya hayo hapo. Apate tu goal ni hii hapaNi idadi ya magoli atayofunga timu husika! Mafano ukiweka iyo over 2 kwa Liverpool inamaana afunge goal zaidi ya mbili akifunga 2 unakuwa refunded! Kwenye exact inamaana afunge idadi hiyo hiyo iliyoweka akizidisha au kupunguza umeliwa! Mafano kwenye exact 3 inamaana unatabiri Liverpool atafunga magoli matatu tu na sio vinginevyo!
Duuh aisee hatarii mzee baba..umempiga parefu sana100%aaaah Asante MunguView attachment 923032
Daah noma100%aaaah Asante MunguView attachment 923032
Mrusi bhaana ukiona anakupa hizo point ujue yeye kaingiza faida ila km hakuna faida anakwambia point hazitoshi hazitoshi View attachment 923195
Hy handcap manake nn Natal nweke
Manake cjalewa handcap
Kesho ukibet naomba code100%aaaah Asante MunguView attachment 923032