The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Hehe hata mm nimeifata hii kwa 25 ila mwanzon mwa mech odd zilikua 2.Aisee eeeeeView attachment 922881
Hehe hata mm nimeifata hii kwa 25 ila mwanzon mwa mech odd zilikua 2.Aisee eeeeeView attachment 922881
Odd zilipaa kweli , halafu first half imemalizika na magoli matatu. Daah. AiseeHehe hata mm nimeifata hii kwa 25 ila mwanzon mwa mech odd zilikua 2.
Hii inanukia tayari kuna kona saba kipindi cha kwanza
Yah zilipanda sana. Nipo nawinda Atletco nacionalOdd zilipaa kweli , halafu first half imemalizika na magoli matatu. Daah. Aisee
Nipe maujanja na mm nimlipue mrusi mkuuHii inanukia tayari kuna kona saba kipindi cha kwanza
Leta maujanja nduguYah zilipanda sana. Nipo nawinda Atletco nacional
Pitia post za juu utakutaka maelekezoLeta maujanja ndugu
Mkuu muwinde zikipaa jilipue.Yah zilipanda sana. Nipo nawinda Atletco nacional
Mkuu maujanja ndio haya tunayozungumza hapa, hakuna mengine.Nipe maujanja na mm nimlipue mrusi mkuu
Duh kona moja tu imeninyima mpunga aiseeHii inanukia tayari kuna kona saba kipindi cha kwanza
hii stake nliiokota pale Gal Bet akati naangalia Arsenal anavyompa shida Liverpool jumamosi.
Leo nimeamua niirudishe kwa wenye nayo.
sijui ka ntapongezwa au ntaadhibiwa.View attachment 922906
Daaaah mwanangu wee acha ******* espanyol wameniunguzia 50k ya over 2.5 corner 1 half yangu sema wakanipoza na 30 ya over 0.5 goal 1 halfMpaka sasa dk ya 39 hawajapiga hata kona moja hapa ndipo unapotaman kuingia mwenyewe uwanjan ukatoe ili upate kona, betting ni ya ajabu sana.