Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yan ni presha tuu!! Nimeckilizia dk 15 kwanza hlf nkachek live nkaona hapa kona zitanisumbua tuu ila pole mkuu
Mpaka sasa dk ya 39 hawajapiga hata kona moja hapa ndipo unapotaman kuingia mwenyewe uwanjan ukatoe ili upate kona, betting ni ya ajabu sana.
 
Alikuchungulia mrusi akakuona yuleee unamnyatia akalala zake mbele kakuachia vumbi nyuma na pesa yako mkononi, najua mkuu hapo unamlia timing na amerika ya kusin kule umpasue vizur ahahaha.
Tehtehteh mkuu, wee acha tu, ila ningemshtukia ningemvizia mwishoni mwishoni. Tehtehteh
 
Alikuchungulia mrusi akakuona yuleee unamnyatia akalala zake mbele kakuachia vumbi nyuma na pesa yako mkononi, najua mkuu hapo unamlia timing na amerika ya kusin kule umpasue vizur ahahaha.
Hahaaaa kuna kombora nimelitega huko, lisipolipuka sijui. Tehtehteh.
 
Mrusi kalikwepa hili kombora aisee.
Screenshot_20181106-003330~2.jpeg
 
Wakuu tangu mchana nahangaika kulog in 1xbet, nashindwa kuipanga hii inaniambia wrong. Tusaidiane
Screenshot_2018-11-06-01-02-56.jpeg
 
Back
Top Bottom