Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Natamani nijivunze na kubet basket ila kwa mwendo huu watu wanavompa mrusi za uso nafikiri nimeshachelewa.
Ombi langu kwa wadau wanaoelewa vzr ufundi wa kwenye basket wawe wanatuletea madesa tudese[emoji16][emoji16]
 
Jana zimenigomea zaidi ya x 3
inatakiwa unacheck na parfonce ya team.
MFANO;ENGLAND
mancty
man u
chelsea
watford
bournmouth
wolves
everton
c.palace
FRANCE:
lyon
psg
nice
masseille
nantes
st.ettien
GERMAN
b.munich


wolfsburg
mgladbach
audsburg
ITALY
inter
napoli
roma
fiorentina
spal
lazio
cagliari

spal
SPAIN
atl.madrid
r.madrid
barca
espanyol
villadollid
eibar
betis
hapo kila timu inauwezo wa kupiga corner 5 per game.so ukiokota match zakotana ukosi pesa ya windhock.
 
Ndoano hiyo sijui itanasa
Screenshot_20181106-124110.jpg
 
mechi ya saa saba

Kashiwa Reysol vs Kashima Anters
1 half over 0.5
changamkia fursa hii
 
Nayo imeshatoa naona tayar goli 4 zimeshafungwa wajapan hawanaga ubahili kwenye magoli[emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka kuplace tu nakuta washatupia 1. Ile najishauri kabla ya dk 5 washatupia la 2. Ikabidi nijilipue kwa 2.5 over 1half.
 
Back
Top Bottom