lete nyingne kiongozi,hongera sana ukiyajulia haya madude hayakupi tabu kuvileWaliofuata WOONView attachment 923382
Mf t1 awe na vikapu 90 t2 awe na vikapu 45 happy loskwahiyo ili u loose wa pili inabidi ashinde vikapu zaidi ya 45+???
Mwendo wa kokoroCHUKUA ZINAZOKUFAAView attachment 923398
Teheteheteh mkuu Void inabd nipambane na kokoro kwanza mkuu nitafute mtaji wa inplay, niwatamani sana wenye mitaji yenu maana mnamsurubu Putin aisee.Mwendo wa kokoro
Kampuni gani hii mkuu na je unaweza kubet wakiwa washaanza??
1xbet na unaweza bet hata wakishaanza
Asante sana kwa maelezo mkuuMf t1 awe na vikapu 90 t2 awe na vikapu 45 happy los
Ili kushinda t1 92 t2 45 inakuwa won
Tehtehteh, kuna la odd mia mbili nikupe ujilipue?Teheteheteh mkuu Void inabd nipambane na kokoro kwanza mkuu nitafute mtaji wa inplay, niwatamani sana wenye mitaji yenu maana mnamsurubu Putin aisee.
Nipe kiongozi nijitoe mhanga tu, inaweza ikawa siku yanguTehtehteh, kuna la odd mia mbili nikupe ujilipue?
Timu za kichina nazo sometimes zinakiwa na ka uchizi nimempa vikapu 15 ameruhusu vikapu 30 hakuna hata dalili ya kijitetea yaana anamtizama tu
Si natumiaa ile apk ya tanz kwenye kudownload ??1xbet na unaweza bet hata wakishaanza
Tega ndoanoView attachment 923402
Mimi natumiaga AptoideSi natumiaa ile apk ya tanz kwenye kudownload ??
Duh mkuu ndo ivyo, nlikua nmeufata bt Noway out, mapambano yaendelee. Nmeona last quarter jamaa wana vikapu 13 yy anavyo 2 nikakata tamaa kabisaTimu za kichina nazo sometimes zinakiwa na ka uchizi nimempa vikapu 15 ameruhusu vikapu 30 hakuna hata dalili ya kijitetea yaana anamtizama tu