Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi natumiaga Aptoide
Promo code ndo naipata wap boss
IMG_20181106_150849_852.JPG
 
Duh mkuu ndo ivyo, nlikua nmeufata bt Noway out, mapambano yaendelee. Nmeona last quarter jamaa wana vikapu 13 yy anavyo 2 nikakata tamaa kabisa
Daah nilianza kumfukuzia ateme mtaji daah nimemkutia mbali kweli kwenye vikapu 27 lakini ameniparua kweli siyo mbaya kwa tuwinde tena
 
Back
Top Bottom