Lete vyote mkuu tutachaguaMnaendeleaje humu wapambanaji! Nafikiri nirudi kwa ujio gani. Ule ule wa single au wa magoli?
Sawa mkuuMkuu jitahidi usibaki nyuma. Aisee
ALIYEFATA BET WOOOOONNmejifunza kutoka kwa mkuu WimmickView attachment 926786
Mkuu BET WOON, wanafunzi tumeanza kuiva taratibuMkuu na Mimi nachukua kozi mdogo mdogo.
Sasa somo umeelewaaa. Hizo ishu za kueka 300 uacheAisee.. Mdogo mdogoView attachment 926858
Mkuu msaada hiyo handcap 1(12) inamaanisha nini mkuu.....nikielewa hapa ndo nitaanza kucheza basketNipo natest mitambo huku.View attachment 926760
Hayo ndo mambo mkuuNipo natest mitambo huku.View attachment 926760
Hawa tumewachelewa walikuwa na odd tamuView attachment 926861
[emoji3][emoji3][emoji3] uwoga mkuuSasa somo umeelewaaa. Hizo ishu za kueka 300 uache
KafungwaaaGenk anataka kutusalimia
NdioKafungwaaa
Ndio
Tutarajie muujiza hapaNdo nimeonaa now ataniachaniaa mkeka mamaye