Handicap 1 (- ) manaake unamwondolea vikapu kadhaa home team. Ili bet iwe won wanachukua vikapu alivyopata toa(-) vikapu alivyopewa hadcap. Jumla ya idadi akimzidi away team basi ni bet won.
Handicap 2 (-) maanaake unamwondolea vikapu kadhaa away team. ili bet kuwa won wanachukua vikapu alivyopata toa(-) vikapu alivyopewa hadcap, idadi ikimzidi home basi ni won.
Handicap 1(+) maanayake unamwongezea vikapu home team, ili bet kuwa won wanachukua vikapu alivyopata jumlisha(+) vikapu alivyopewa handicap, jumla hiyo akimzidi mwezie basi ni bet won.
Handicap 2 (+) unamwongezea vikapu away team, ili bet iwe won inajumuloshwa vikapu alivyopata + vikapu alivyoopewa handicap, akimzidi mwenzake ndio inakua bet won.