Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sasa umeona mambo hayo, inafikia stage unajilaumu bora ningebetia odds 3 tu huenda ningekula! Maana hapo kuna odds za opposite choice zilikuwa nyingi tu!
Hata hivo Hawa wabongo wezi tu wanaku limit ucheze kavu option ya overtime hawakupi so ikienda overtime umeliwa wezi tu hao
 
Hata hivo Hawa wabongo wezi tu wanaku limit ucheze kavu option ya overtime hawakupi so ikienda overtime umeliwa wezi tu hao
Huku 1xb una chagua km dc au overtime yaani ni ww tu ukiliwa unakuwa NI ww tu lakini option zipo nyingi sana
 
Waliofuata WOON
Screenshot_20181108-173414.jpeg
 
Hata hivo Hawa wabongo wezi tu wanaku limit ucheze kavu option ya overtime hawakupi so ikienda overtime umeliwa wezi tu hao
Jamaa wahuni, wamejiwekea wao Chances za kukupiga 80% halafu options walizokupa za wewe kula ni 20% chunguza mfano MBET utakiona hiko kitu, option nyepesi kule ni under 1.5 first half na BTTS aidha first au second half!
 
In play ukifuata kwa code mrusi atakuzingua Bora nikipost unaifuata hivo hivo on Kuna mabadiliko NI rahisi kujiongeza kuliko kwenye code
uwe unaupost hivo hivo tu mkuu tunachechemea nao mbele kwa mbele tu.[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom