Jblmunis333
Member
- Nov 6, 2018
- 65
- 40
Hapo kwelVile vile huwa napenda kupost hivo Kuna wengine watalalamika kuwa anapost yeye mbona haweki dau
Hapo kwelVile vile huwa napenda kupost hivo Kuna wengine watalalamika kuwa anapost yeye mbona haweki dau
Quarter mkuu, direct ngumu
Boss leo napishana na ww tu now im backWaliofuata WOONView attachment 926337
Mbaya ukapost halafu ikawa loss wataona unawaingiza Chaka inatakiwa Kuna msemo unasema believe in yourself and others will too. Unakuta Sina utaalamu wowote ila kwa kujimini tu na steka kubwa namwingine anapata imani ya mikeka yangu hata mrusi nae uchawi wake unagonga mwamba maana anaona upo serious naeHapo kwel
Vile vile huwa napenda kupost hivo Kuna wengine watalalamika kuwa anapost yeye mbona haweki dau
Wadai pesa yako ,kama una rekod yake chat nao warushie screenshotooook sawa ,but hata mie nilikuwa nahic ivo lakini kuna siku nili sell hiyo hela sikuiona kabsa,
Ndo nika dout kuwa labda nimekosea ndo nikaona nipate kufahamishwa,saa cjui sasa labda hiyo hela ipo hewani,[emoji26]
Kweli kiongozi kwa jinsi unavojilipua ungekuwa huoneshi stake wengi tungejua upo kwaajili ya kutupeleka chakaMbaya ukapost halafu ikawa loss wataona unawaingiza Chaka inatakiwa Kuna msemo unasema believe in yourself and others will too. Unakuta Sina utaalamu wowote ila kwa kujimini tu na steka kubwa namwingine anapata imani ya mikeka yangu hata mrusi nae uchawi wake unagonga mwamba maana anaona upo serious nae
Msije sema code haipo
Msije sema code haipo
Ndo shida ya in play basketballWanasema bet slip is empty
Tatizo la betting ukiwa mwoga utacheza odds za 1.21, 1.09, 1.11 ila still pia utakula mitama tu, haimaanishi ukicheza viji odds vidogo ndo huliwi sasa ni bora ubadili strategy tu, chezaa odds kuanzia mbili na kuendelea ukipiga hela inaongezeka fasta ukifeli ni kawaida maana hata ukicheza odds ndogo ungeliwa tu! Nampa heko bwana Void abnito na wahuni wengine wanaojitoa jihadi odds 2,3,4,5+ na mungu anabariki kweli!Hakuna mtu anayecheza Inplay kwa uwoga kama mimii. Nimeamin Kunguru kwa uwoga wake huishi miaka mingi.
Hiyo game Kama unaweza ifuate weka hata vikapu -27 inatoaWanasema bet slip is empty
Jana nimeenda premier bet nimecheza odd 1.11 nikaliwa 60kTatizo la betting ukiwa mwoga utacheza odds za 1.21, 1.09, 1.11 ila still pia utakula mitama tu, haimaanishi ukicheza viji odds vidogo ndo huliwi sasa ni bora ubadili strategy tu, chezaa odds kuanzia mbili na kuendelea ukipiga hela inaongezeka fasta ukifeli ni kawaida maana hata ukicheza odds ndogo ungeliwa tu! Nampa heko bwana Void abnito na wahuni wengine wanaojitoa jihadi odds 2,3,4,5+ na mungu anabariki kweli!
Huwez amini siioni huu mtanangeMsije sema code haipo
Sasa umeona mambo hayo, inafikia stage unajilaumu bora ningebetia odds 3 tu huenda ningekula! Maana hapo kuna odds za opposite choice zilikuwa nyingi tu!Jana nimeenda premier bet nimecheza odd 1.11 nikaliwa 60k
In play ukifuata kwa code mrusi atakuzingua Bora nikipost unaifuata hivo hivo on Kuna mabadiliko NI rahisi kujiongeza kuliko kwenye codeHuwez amini siioni huu mtanange