Znazingua badoView attachment 925958kwangu zimerudi fresh ila sija jaribu kutoa pesa huku
Znazingua badoView attachment 925958kwangu zimerudi fresh ila sija jaribu kutoa pesa huku
Kama mlipuuzia jana, mzigo uliwinWeka nyumba
View attachment 925216
Sell maan yake n kuuza yan unauuza huo mkeka kabla hata game hazija malizikakuna option ya sell kwenye 1xbet mchezo kama hujaisha,ina maana gani hiyo?.kwa anae fahamu plse
Kama unaridhia unaweza kuwauzia huo mkeka na kila mtu akala hamsini zake[emoji2] [emoji2]kuna option ya sell kwenye 1xbet mchezo kama hujaisha,ina maana gani hiyo?.kwa anae fahamu plse
0754869302mwenye namba za m-lipa anitumie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee ngoja nipite maana duhjamani 1xbet inatambulika kiserikali au laa na vp kuhusu kodi wanakata au hamna?
ooook sawa ,but hata mie nilikuwa nahic ivo lakini kuna siku nili sell hiyo hela sikuiona kabsa,Kama unaridhia unaweza kuwauzia huo mkeka na kila mtu akala hamsini zake[emoji2] [emoji2]
Kuna shida kwenye network nadhani! Mm pia tangu juzi nimeweka pesa, M-PESA ninao uthibitisho wa sms ila kule 1xbet haisomi. So mcheki huyo jamaa, na uwe na subranimeweka hela kwenye account lakini siyioni sijuwi wataniwekea maana mimi ni mgeni
nimeweka hela kwenye account lakini siyioni sijui wataniwekea kweli bro0754869302
Sell unauuza mkeka wako kwenye system,kuna option ya sell kwenye 1xbet mchezo kama hujaisha,ina maana gani hiyo?.kwa anae fahamu plse
M-lipa ni ******* sana custormer care zero kabisa wame shikilia laki yangu kma yaoKuna shida kwenye network nadhani! Mm pia tangu juzi nimeweka pesa, M-PESA ninao uthibitisho wa sms ila kule 1xbet haisomi. So mcheki huyo jamaa, na uwe na subra
Yap mi niliwithdraw asubuh fasta tu dk 10 mpunga ukaingiaKuna ambaye ame withdraw leo jamani