KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,332
Daah.alhamdulilah,1xbet tayar inafanya kazi
Sikuzote direct win ni mbaya sana,fanya yote ila sio direct winFanyeni uchambuzi hapa......huwa sinaga bahati so don't take it kama ilivyoView attachment 925664
Nikinunua kuku manyoni kuja kuuza Dar hasra inaweza kutokea km kufa kuku, kuibiwa njian n.k ila nikifika nao Dar japo kuku 2 na nikikosa mteja atleast kuku wangu nawaona naweza kufuga or kuchinja namaanisha ktk biashara ya ukweli uwezi kukosaaa yotee hata km n club ikiiungua moto km nimeikatia Bima kuna kitu nitakipata...sasa leo wewe fanya biashara na Timu huko uropa eg: weka pesa timu flani inawin then ikalose nione ktk hio biashara yako utaadisia nini? Means hakuna utakachobaki nacho ukiliwa umeliwa tu...huu ni mchezo wa kubatisha sio biashara na aijawai kuwa biashara kwa mtu anayebetMkuu biashara zote ni sawa na betting coz tuma weka pesa na hatuna uhakika na tunachokitarajia
Daah.alhamdulilah,
1×bet ni nzurDuuh nlikuwa nawaza kampung ya kuhamia
Wabongo tamaa ndo zinatumaliza!!!!!! Jamaa kapata almost 40% profit bado watu wanamshangaa, biashara gani ya kuleta 40k prof kwa mtaji wa 100k hapa bongo km sio betting tu???Pole mkuu km umeumia ila bado unasafari ndefu sana km kwa bettng ya namna hio kwa upande wako umepiga hatua...hio betting ningebet mimi hata wadau nisingetaka waione coz ni betting ya kishamba sanaaa ni km vile ulikuwa unatamani uone neno Won tu ktk mkeka wako...hakuna sehem niliyosema mambo ya bilion ni bora ungetia hio 99000 upate 198000...
Princessbet hua na odds nzuri sana kwa kampuni za kibongo ila option si nyingi sana kama meridian/premierbetnahitaji kujua kama kuna kampuni ya betting yenye odds nzuri kama bikosports iliopo Tanzania ukiacha 1xbet napenda sana kutumia bikosports lakini nazani hawa ni wababaishaji hasa kweye malipo na unaweza kudhulumiwa kabisa pesa yako jana mkeka wangu umekubali lakini nimeaambulia sms ya jamvi lako limetiki lakini m-pesa pesa haikuingia najaribu kupiga simu customer care hawapokei msaada
Yaani ww ndo limbukeni kabisa wa betting, utasubir saaaana kula, usimchanganye mwenzio kwa strategies zako za kiboya. NASUBIRI POVU.Yanii mkuu niwe na uwezo wa kufanya mishe zangu nikaingiza or nikapata milion 1 then nirisk milion 1 kwa kupata elfu 50? Mkuu si bora niendeleze mishe zangu nikaingiza tu hio 50..huyu mtu aliyebet ivyo alikuwa ni mshamba wa neno WON ktk mikeka yake ila mwana betting awezi kubet ivyo mybe nitie milion 1 nisubiri milion 2..sio milion nisubiri elfu 50 NI USHAMBAA WA WON
Wew ndio umejua jana kubet nimeshwon wakati wew upo shule ya msingiYaani ww ndo limbukeni kabisa wa betting, utasubir saaaana kula, usimchanganye mwenzio kwa strategies zako za kiboya. NASUBIRI POVU.
Wew ndio umejua jana kubet nimeshwon wakati wew upo shule ya msingi
Wew ndio umejua jana kubet nimeshwon wakati wew upo shule ya msingi