mdau watu wameweza kufungua biashara unazoziamini wewe kupita kwenye betting tambuwa kwamba betting ni fursa kwa mtu makini, watu wamezalisha biashara zingine mtaji umetoka kwenye betting wewe unataka kutueleza nini leo hii, kuna mtu kila siku anacheza milioni 2 ili apate laki moja kwa siku na anaipata kila siku, mdau ukiwa na malengo kwenye kubeti nakwambia hata kazi hizi za kuajiliwa utaona upuuzi tu niamini mimi, tatizo sisi wabongo tunabeti pasipo na malengo lazima uwe na maamuzi kuwa kwa siku natakiwa nipate kiasi gani kikifika hicho kiasi hutakiwi kubeti tena hata kama kutakuwa uwezekano wa kuongeza mfano mimi kwa siku nikifikisha elfu 30,000 tsh basi huwa sibeti tena mpaka siku nyingine, na mtaji wangu ni elfu 20,000 tsh tu, na kupitia hii betting nimeweza fanya mambo yangu mbalimbali.