Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Hahhahahaa niliweka buku10 et nikapata wengeeee cjui kwann nilijua man u ii game lazima ashinde maana yule morinyo afungikag Mara mbiliVp mkuu?
Hahhahahaa niliweka buku10 et nikapata wengeeee cjui kwann nilijua man u ii game lazima ashinde maana yule morinyo afungikag Mara mbiliVp mkuu?
Sijui kubet ila siwezi kubet hivi..yanii niweke laki kasoro buku ni win elfu 40?? Nijirisk kwa laki 1 kwa kutafuta elfu 40? Bora ingekuwa kinyume chake atleast ingekuwa bettng ila hii sio betting hii ni TALA [emoji6]Daaash thanks god asee View attachment 925324
Mourinho ndy mambo yake haya!! Kelele kelele hatakagi!! Akitulia anapanga mechii hasa mechi kubwaa. Mi nilieka 3000 tuuHahhahahaa niliweka buku10 et nikapata wengeeee cjui kwann nilijua man u ii game lazima ashinde maana yule morinyo afungikag Mara mbili
Mkuu wewe unashangaa hii, watu wanaweka milioni wapate elfu hamsini.Sijui kubet ila siwezi kubet hivi..yanii niweke laki kasoro buku ni win elfu 40?? Nijirisk kwa laki 1 kwa kutafuta elfu 40? Bora ingekuwa kinyume chake atleast ingekuwa bettng ila hii sio betting hii ni TALA [emoji6]
Naomba kuclear air hapa, mfate pm muulize kama nilimuuliza swali lolote zaidi ya kusema handcap sizielewagi hivi hilo ni swali? Fatilia hata zile chats acheni kuongea as if kuna mtu kaua humuKuna mtu tumempotezaa wa muhimu saanaa leo kisa maswali ya kijingaaa
wadau tuache kurumbana au ndo hasira za mikeka unakamata mnyonge kwa mfano mm sipend void ab anavyotuma mikeka ya win tu niliongea lkn anakaza anatuma nkaona niachane atume atakavyo kwan bundle c lake na jamii forum kajiunga mwenyewe kwa hiyo mtu kipost kitu kma swal ukiona utajibu vibaya acha tu kwan sio lazima kujibu nadhan wote 18+ mambo madogo kutumia tu hekima
Yaani humu kumejaa Viazi balaa..Badala ya mtu kujifunza mbinu za void na yeye aweke mikeka yake analalamika...Anataka void awe anatuma aige.Pole sana Mkuu I know How you feel Relax! Zamu yako inakaribia Kanji mtoto mdogo saana utampiga! Kutoa Msaada ni Kipaji ambacho tunacho watu wachache saana! Kikubwa katika Dunia hii usije ukamtegemea Mtu yoyote akusaidie Utaumia Mzee cha msingi ukikwama Pambana ikishindikana omba msaada ila usiwe na matarajio 100% utasaidiwa! Usiposaidiwa chapa mwendo, ukisaidiwa shukuru maisha yaendelee! Hili jukwaa lilianzishwa kwa lengo la kushirikiana kumtungua Kanji lakini limekuwa jukwaa la kutambiana! Yani imekuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe kipindi hichohicho tuna vita na kanji! [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Kuna watu Wajinga sana humu,hawajiongezi ana smartphone halafu hajui Double Chance ina maana gani...natamani kungekua hata na test ndio ujiunge kuchangia.Kuna mtu tumempotezaa wa muhimu saanaa leo kisa maswali ya kijingaaa
Mkuu tabu yote hii ya nini bro we endelea kuzitafuta izo bilion bilion tu kak ni kipato chako mimi wacha nizitafute izi ndogo ndogo tu elfu elfu mi ndo najua nilipotokea na ninapo elekea bro alafu si vyema kujifanya mjuaji sna kwa kila jambo kuna siku utaumbuka mzee wa kazi sijaona sababu yoyote ya wewe kujifanya guru apa niache nitafute zangu izi izi mkuuSijui kubet ila siwezi kubet hivi..yanii niweke laki kasoro buku ni win elfu 40?? Nijirisk kwa laki 1 kwa kutafuta elfu 40? Bora ingekuwa kinyume chake atleast ingekuwa bettng ila hii sio betting hii ni TALA [emoji6]
Nmeshinda 1xbet sijui nntatoa vip hy helaLeo mrusi kaamua anibanie hela kabisa
Kuna tatizo kwa sasa hata ukitoa itaishia hewani.Nmeshinda 1xbet sijui nntatoa vip hy hela
Pole mkuu km umeumia ila bado unasafari ndefu sana km kwa bettng ya namna hio kwa upande wako umepiga hatua...hio betting ningebet mimi hata wadau nisingetaka waione coz ni betting ya kishamba sanaaa ni km vile ulikuwa unatamani uone neno Won tu ktk mkeka wako...hakuna sehem niliyosema mambo ya bilion ni bora ungetia hio 99000 upate 198000...Mkuu tabu yote hii ya nini bro we endelea kuzitafuta izo bilion bilion tu kak ni kipato chako mimi wacha nizitafute izi ndogo ndogo tu elfu elfu mi ndo najua nilipotokea na ninapo elekea bro alafu si vyema kujifanya mjuaji sna kwa kila jambo kuna siku utaumbuka mzee wa kazi sijaona sababu yoyote ya wewe kujifanya guru apa niache nitafute zangu izi izi mkuu