Ila man Mungu amekujalia ukapata uwezo wa kuulewa huu mchezo bro fanya pia kusaidia na wengine hasa pale unapokuwa uko loose unaweza ukaandika ata vitu vitatu angalau vya kuzingatia pale mtu anapotaka kubeti na vya kuzingatia ili uijue betting, man kumbuka life ni ngumu kinoma ivyo wote umu tunabet ili yuongeze kipato bro kama unaweza kutupiga tafu si mbaya ata God ni lazima azidi kukunyooshea mzee. Hii mambo ya kukasirika pindi unapoulizwa si nzuri na wala si busara punguza kujenga ukuta kati yako na watz wenzio tunahitajiana mzee