Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kwa niaba ya wote wanao uliza uliza wakitaka kujua hili na lile kuhusu haya maswala ya kubeti naombeni tuwavumilie kumbukeni uwezo wa kupambanua mambo
kutumia guugo kwa ajili ya kuongeza ufahamu nk tumetofaitiana.
hata sisi tulianzia huko tulikuwa tunauliza hata maana ya GG ni nini? kwa hiyo tuwajibu kwa kadri tunavyo weza kama huwez kutoa jibu kausha kama hujaona swali lake atakaye weza atamjibu. Ahsante
 
Akili kubwa!!!!
 
Weka nyumba
Screenshot_20181107-221743.jpeg
 
Wakuu hiyo niliyocheza kwa advance bet imetick ila hawajaniwekea mpunga je silipwi? Pesa niliyodeposit bet kuna ambazo zilitick nyingine nika lost sasa je hii ya WON sina changu?
Screenshot_2018-11-07-22-30-01.jpg
 
Hii 1xbet naona bado kichwa yake ina mawenge sijui ilitekwa leo? maana tangu asubuhi nyia za malipo kwa simu zilipotea sasa vimerudi nimejaribu kuweka hela haijaonekana kwenye akauti yangu wakati kwenye simu imeondoka
hatuchekani mimi nimeweka pesa lakini mpaka sahv hata meseji ya kuthibitisha hakuna najaribu kuwapigia voda wanapokea wale wadada nawaambia wananijibu utumbo utumbo,,, nimewatukana!
Sahizi nipo nasubiria laini kufungwa
 
Tigo huwa wapo safi sana hela ikikosewa ama mfumo ukitikisika huwa wanarudisha wenyewe lakini hawa voda saa nyingine hupotelea kusikojulikana
 
Wakuu hiyo niliyocheza kwa advance bet imetick ila hawajaniwekea mpunga je silipwi? Pesa niliyodeposit bet kuna ambazo zilitick nyingine nika lost sasa je hii ya WON sina changu?View attachment 925232
Mkuu hapo labda kama kuna mkeka mwingine uliobet kabla ya huo au baada ya huo hyo hela utakayo win ndio italipa hapo katka hyo advanc ila kama hyo mikeka italoose basi wanakurudishia hyo hela uliobet katka huo mkeka uliowin
 
Baada ya app za kimataifa kuleta mushker leo,bas nkasema sio kesi kwa mara ya kwanza nijarib hiz za bongo,fasta nika register sportpesa,...na premier

Daah...najuta,yaan..kwel ukizoea 1xbet hiz zingne utaona kero tu...

1.kwanza .Not user friend at allll
2.very slow,hazifai kwa live inshort
3.hazina option za kijanja kabsaaaa.
4.yaaan hovyooo,.

Na imebid nitumie sabab kiukwel siwez acha pesa za game za saa tano.

Ila kesho tuu nazifutilia mbal,taka taka kabsaaa
 
Acha kutukuza upumbavu................kwani akiondoka yy ndo UKbet hushindi?

Kama hushindi huna akili wewe.
Mkuu Watu wadisign hii huwa siwaelewi wanakaa kuomba omba mikeka ya watu wavivu wa kufikirisha akili zao baada ya kuomba namna ya kupata pesa wenyewe wanaomba pesa. Wavivu sana na huko ni kujitafutia ukilema wa kupoteza pesa kizembe zembe.

Wanaoomba mikeka mara code ombeni strategies za kuwin na sibkucopy na kupest haikusaidii kitu siku kukiwa hakuna code au mkeka wa kutembelea huna ujanja.
 
Mkuu hapo labda kama kuna mkeka mwingine uliobet kabla ya huo au baada ya huo hyo hela utakayo win ndio italipa hapo katka hyo advanc ila kama hyo mikeka italoose basi wanakurudishia hyo hela uliobet katka huo mkeka uliowin
Kama ile niliyobet niliwin then nikabet nika loose yote acc ikabakia na zero?
 
Back
Top Bottom