HiDEmYiD
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 1,901
- 3,672
We humu Kwa baba ako?Yaaan hawa ndo wanakimbiza watu aisee
We humu Kwa baba ako?Yaaan hawa ndo wanakimbiza watu aisee
Za kwenye screenshot ya ulicho bet
Wa nyumbani ashinde au atoe sare na mechi iwe imetoa gol kuanzia mbili na kuendeleaNn maana ya 1×&2+?
Nilijua simu yangu labda inatatizo yani kiongozi post zako hazionekani vizuri kiongozi
Hawana ila wana mobile versionGal sport waba APK?
Kosa langu nn mkuu mbna Kunivunjia heshima Kama hutak si ukae kimya?
Apitiee thread za nyumaaWakuu mbali mbali mm naona haina haja ya kujaa mtu anapokuwa anaulza maswal ata kama linarudiwa kila cku kuna wengne wagen jaman
1XBET ni motooooMapemaaa tuu...[emoji378][emoji378]View attachment 925164
Fact mkuuWakuu mbali mbali mm naona haina haja ya kujaa mtu anapokuwa anaulza maswal ata kama linarudiwa kila cku kuna wengne wagen jaman
Acha bangi zako weeee huoni thread zippo ngap unasomaje zote???Apitiee thread za nyumaa
Fact mkuu
Kuna mtu tumempotezaa wa muhimu saanaa leo kisa maswali ya kijingaaaHakuna fact yyt hapo; hakuna swali ambalo halijajibiwa na member wa humu! Shida we ni mvivu kufungua thread zilizopita kucheki!! Unayo smartphone unashindwa kufanya internet searching usome!! Ok unaeza usi-search ila lishajibiwa!! Pitia msg mojamoja usome upate unachotafuta
Kuna kipindi yaaanii ilikuwa kila ukiingiaKuna watu wanapenda kukera, ila muda mwingine tunapotezea. Na sijui ni kwa nini? Sasa kama kuna baadhi ya watu wakiingia wanalalamika kuwa tunapost tukishashinda nikapost ndoano zikatoa nikamuuliza mmoja kuwa ulizifuata akasema hapana, sasa si kero hiyo.
Jamani kila kampuni ina terms and conditions.. Ukienda hapo Utakutana na maelekezo ya kila option. Kama njia hiyo imekushinda Ingia google andika hiyo option Halafu search.. daaaah lakini kugoogle video za amber rutty wanaweza lakini kugoogle option itakayompa hela hawezi daaah Tanzania bwanaWakuu mbali mbali mm naona haina haja ya kujaa mtu anapokuwa anaulza maswal ata kama linarudiwa kila cku kuna wengne wagen jaman
Hatariii yaan nilibet af nikawa naitazamaa live,,,,[emoji3][emoji3]1XBET ni motoooo
Leo nakosa hata cha kubet kabisa 1xbet wameninyima raha
Nimeshindwa kabisa... Nasubiri wakirudi nibet tu kikapu usiku mnene.Hahahah mkuu nitabirie direct hata match nne nipo zangu sport pesa hapa