ALL IN ONE
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 272
- 190
Punguzeni maswali yanayowakwazwa watu muhimu ..jiulize mdau akupe tip afu umuulize tena .. Be smart wengine wapo chimbo wanasubir nondo
Kuna watu wanapenda kukera, ila muda mwingine tunapotezea. Na sijui ni kwa nini? Sasa kama kuna baadhi ya watu wakiingia wanalalamika kuwa tunapost tukishashinda nikapost ndoano zikatoa nikamuuliza mmoja kuwa ulizifuata akasema hapana, sasa si kero hiyo.
maswala ya win hiyo mech not safe kabisaHivi Man U anaweza kweli kumtandika Juventus.
Hivi husomi thread za juu au??mnakera bwana we unasikiaa zinamatatizo bado unauliza namna ya kuingiaMsaada 1xbet naingia VP???
Na ww usitukimbiee mkuu....[emoji120][emoji120]Kuna watu wanapenda kukera, ila muda mwingine tunapotezea. Na sijui ni kwa nini? Sasa kama kuna baadhi ya watu wakiingia wanalalamika kuwa tunapost tukishashinda nikapost ndoano zikatoa nikamuuliza mmoja kuwa ulizifuata akasema hapana, sasa si kero hiyo.
Msaada 1xbet naingia VP???
Total goal ranges gal sport bettingMkuu hivi hapo unabetiaa kwenye kipengele cha total over au?
Gal sport waba APK?Total goal ranges gal sport betting
Mi natumiaa sport pesaTotal goal ranges gal sport betting
Unavamia vamia tu jukwaaa!! Ukiaz huo
Itakuwa waasia mkonokofia na waasia jumla....tih Tih ... Braza una bundle una google... Kama lugha tatizo kuna google translate. Vitu zingine mjiongeze mazeeeAsian total na asian handcap maana yake nini?
Mkuu ni mm hapa ambaye uliniulza mpaka leo hii mm bado cjabet kuna vitu naweka sawa labda kesho ndio nitaanza kufuataKuna watu wanapenda kukera, ila muda mwingine tunapotezea. Na sijui ni kwa nini? Sasa kama kuna baadhi ya watu wakiingia wanalalamika kuwa tunapost tukishashinda nikapost ndoano zikatoa nikamuuliza mmoja kuwa ulizifuata akasema hapana, sasa si kero hiyo.
Itakuwa waasia mkonokofia na waasia jumla....tih Tih ... Braza una bundle una google... Kama lugha tatizo kuna google translate. Vitu zingine mjiongeze mazeee
Kosa langu nn mkuu mbna Kunivunjia heshima Kama hutak si ukae kimya?Unavamia vamia tu jukwaaa!! Ukiaz huo
Nilijua simu yangu labda inatatizo yani kiongozi post zako hazionekani vizuri kiongozi