Sirnone
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 738
- 722
Na Juventus yuko hme kazi ipo leoHivi Man U anaweza kweli kumtandika Juventus.
Na Juventus yuko hme kazi ipo leoHivi Man U anaweza kweli kumtandika Juventus.
Chukulia matokeo hayaNn maana ya 1×&2+?
Mkuu nilikuwa busy Leo ,daah sio kwa magoli haya ya watoto wa UEFA. Tumepishana na hela live.WIMICKY & Void ab initio mpo wap boys
#inplay game plz
Dah 1xbet ndo bye bye bongo
Wameshaondoa mobile payments
Naombeni namba ya kampuni ya GSB(gal bet)
ila co mbaya bado games n nying kaz ianzeeMkuu nilikuwa busy Leo ,daah sio kwa magoli haya ya watoto wa UEFA. Tumepishana na hela live.
Me mwenyw ndo mida hii nmeingia huku naona majamaa wamemkera WIMICKYMkuu nilikuwa busy Leo ,daah sio kwa magoli haya ya watoto wa UEFA. Tumepishana na hela live.
Nyie ndo mnaosababisha mpaka mtu anasusa kutuma bet zake huku ...kashasema hataki maswali soma thread za nyumaaaWIMICKY naomba unifundishe hizi option za kwenye basketball,
Oyaa kablaa hamjauliza jitahid kuoitiaa thread zilizopitaa ...majibu yapo1Xbet vipi mbona Tigo pesa na mpesa sizioni kwenye kudeposit (Top up account) ?? Au kuna matatizo ya netwek?
Me mwenyw ndo mida hii nmeingia huku naona majamaa wamemkera WIMICKY
Jamani hi tabia ya kila Mara mtu unauulizia option hiyo hiyo MOJA mnafanya tusiwe tunapost mikeka.... handicap maana yake Nini unajibu kesho Tena anauliza mwingine handicap maana yake Nini inakera
Wasamehe bure wengine akili zao wanazijua wenyenye ..relax bro
Ingia google mzee utapata maana vzrAsian Total na Normal total zinatofauti gani???????
Heheh yatatokea yale ya liver janaHawezi kupindua kwa yale mazee ya Turin tena yako kwao.. Mwaka huu kipaombele chao ni UEFA ndio maana wakanunua hadi CR7.. Sasa Man leo hakipata hata draw ana Mungu.
Ila Man anakufa 2-1.
Kuna watu wanapenda kukera, ila muda mwingine tunapotezea. Na sijui ni kwa nini? Sasa kama kuna baadhi ya watu wakiingia wanalalamika kuwa tunapost tukishashinda nikapost ndoano zikatoa nikamuuliza mmoja kuwa ulizifuata akasema hapana, sasa si kero hiyo.Me mwenyw ndo mida hii nmeingia huku naona majamaa wamemkera WIMICKY
Kwel aise ina kera ila ndo hvyo kila mtu yuko tofaut na mwngne ....NYIE TUVUMILIEN we nenda na wale wanakufwata tu hao wengne temana nao yanKuna watu wanapenda kukera, ila muda mwingine tunapotezea. Na sijui ni kwa nini? Sasa kama kuna baadhi ya watu wakiingia wanalalamika kuwa tunapost tukishashinda nikapost ndoano zikatoa nikamuuliza mmoja kuwa ulizifuata akasema hapana, sasa si kero hiyo.