Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu,kampuni ipi nzur ukiondoa 1xbet,fasta nataka kuanza kaz jion hii nzur naiona

1xbet Leo inazingua...msaada wakuu,..na link kabsa ya kujiungA
 
Daaah 1xbet yaani hizi kampuni zetu wanaweka gemu wanazotaka wao
 
1xbet wametoa systeam ya kudeposit kwa vodacom m*pesa sahz nataka ni bet ila sijaiona/ sijui wana shida gan leo
 
Nikajua kuweka fedha gemu zipo ila mm nilishatoa help zote nimebakia na 800 Kwanza nimfanyie maajabu na hiyo 800
In play
Screenshot_20181107-171035.jpeg
 
Back
Top Bottom