Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa hyo itakuwaje khs kuweka au kutoa?
Kuna siku niliuliza humu... hivi Hizi kampuni tunazocheza ambazo hazijasajiliwa Tanzania kama hii 1xbet (sijui kama kwa sasa wamefungua ofisi Tanzania) wakaaamua tu kutokutoa huduma Tanzania na wakaaamua tu kufuta accounts originated Tanzania kuna lolote la kuwafanya kama kuwashtaki... !!?? ....
 
Zimeshashuka sana mkuu hawa meridian ukiweka hela haiingii hapo hapo hadi kusubiri kidogo ndo wamenilostisha
Daah mwenyewe nimeamua kuweka sportpesa pesa angalia unavyoweza Cheza hela hizo gemu ya mwisho alimpiga mtu tofauti ya vikapu 47 hata huyu anaweza chezea vingi maana wote hao huwa wanampiga siku zote leo watakuwa wamepigwa bumbuwazi maiti imefufuka ndo happy happy nae anapochukulia ushindi
 
1xbet Kutoa pesa unatoa Akini ukitoka kudepisit Option za mobile hazpo sijuhi zmetoka ztalud au raha
 
Kuna siku niliuliza humu... hivi Hizi kampuni tunazocheza ambazo hazijasajiliwa Tanzania kama hii 1xbet (sijui kama kwa sasa wamefungua ofisi Tanzania) wakaaamua tu kutokutoa huduma Tanzania na wakaaamua tu kufuta accounts originated Tanzania kuna lolote la kuwafanya kama kuwashtaki... !!?? ....
Hatuna lolote la kuwafanya, lakini sio za nje tu hata za ndani zinaweza kufunga huduma na tusiwafanye chochote. Hata mabank ya ndani si unasikia yanafungwa na watu wanapewa 1.5m hata kama ulikuwa na milioni 100 na unakuwa hauna chochote cha kuwafanya kwasababu wana majibu mepesi kuwa kampuni imeshindwa kujiendesha.
 
Naona zimetoka bahati mbaya maana hata wao wanaanza kubuni buni namna ya kutatua tatizo hilo
Snip-it_1541593881292.jpeg
 
Kuna siku niliuliza humu... hivi Hizi kampuni tunazocheza ambazo hazijasajiliwa Tanzania kama hii 1xbet (sijui kama kwa sasa wamefungua ofisi Tanzania) wakaaamua tu kutokutoa huduma Tanzania na wakaaamua tu kufuta accounts originated Tanzania kuna lolote la kuwafanya kama kuwashtaki... !!?? ....
Mkuu naamini kampuni Inajiendesha Kwa sheria na kanuni..haiwezi kufunga kienyeji huduma.
Kwa hapa bongo wanawakilishwa na MLIPA tutadili nao Sababu wanatambulika kisheria.
 
Back
Top Bottom