Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nenda deposit kisha chagua unataka kutumia njia gani km mpesa click,then jaza kiasi na number ya simu confirm.watakutumia no. Ya kampuni na kumbukumbu number hapo utamalizia mwenyew,mm nimetoka kudeposit mda huu pesa kwa kutumia mpesa
Mbona Ukienda withdraw.. Kuna options mbili... Betshop na webpay ukiingia webpay kuna mitandao ya voda na tigo na utaambiwa u confirm namba yako na kiasi cha kutoa....
 
Mbona Ukienda withdraw.. Kuna options mbili... Betshop na webpay ukiingia webpay kuna mitandao ya voda na tigo na utaambiwa u confirm namba yako na kiasi cha kutoa....

ndo hivyo lazima utumie betting shop maana hawana option ya kupeleka kwenye simu
 
sio kila kampuni n nzur kubetia mkuu
nimeona Mbona wana options za kutolea kwa simu... Nimeshangaa alichosema jamaaa kwamba hawatoi kwa simu wakati option ipo... Mostly nilikuwa naitumia hii nikiwa Dar.. nipo mwanza ndio maana nimeuliza Lakini Najua hiyo option ya kutoa kwa simu ipo ila sijawahi kuitumia
 
Mi napafahamu, nenda wako pamba road karibu kabisa na stend ya igoma kwa daladala zitokazo buhongwa, au
Makutano na barabara ya kutoka igoma kupitia agakhan hospital
sina uhakika labda ujaribu kuwasiliana nao kwa hizo hapo
We are here 24/7 to give you the best support
Toll Free: 0800 71 23 45
Email: [email protected]
 
nimeona Mbona wana options za kutolea kwa simu... Nimeshangaa alichosema jamaaa kwamba hawatoi kwa simu wakati option ipo... Mostly nilikuwa naitumia hii nikiwa Dar.. nipo mwanza ndio maana nimeuliza Lakini Najua hiyo option ya kutoa kwa simu ipo ila sijawahi kuitumia
Kulia kwako mbele kidogo kama mita 30 ukiiacha nyuma shule ya Pamba,
Kuna jengo la ghorofa 1 lakini refu kwa upana(liko kama plaza)
Ukiangalia kwa juu gorofani utaona bango lao
 
Jamani eeh..
Twende CHINA SUPER LEAGUE
Mechi ya Guanghzou R&F vs HEBEI.

Hebei ana odds 9 kwa direct win
 
Nenda kwenye withdraw ila hakuna option ya kuihamisha kwenda kwa simu yako bali kuna code wanakutumia kwenye email yako uliyosajilia kisha nenda betting shop yoyote iliyo karibu, na hiyo code namba yako pia ukumbuke account namba yako na kiasi ulichotoa,
Screenshot_20181107-134017.png


ninachoongelea Mimi ni hiki juu kipo pesa inaingia kwenye simu ukichagua WEBPAY..... unachoongelea wewe kuchukulia Betshop ni hiki kinachofuata ukichagua malipo kwa Betshop nacho kipo usikatae ndugu
Screenshot_20181107-134051.png
 
Betting shop yoyote tena... mwanza wanapatikana wapi...


nimewacheki wamenijibu hivyo

GSB Customer Care
customer care online, [07.11.18 13:53]
Dear mteja,

Asante kwa kufika kituo cha Gal Sport Betting,

Hata hivyo tunakuwomba wewe kama unapofika tatizo kama hio,

ingia katika Akaunti yako,bonyeza kwenye withdraw,weka kiasi ya hella,chagua webpay,

kuthibitisha namba yako ya simu na nenosiri yako alafu bonyeza hanza mchakato wa kujiondoa hella.

Asante kwa kuchagua kituo cha Gal Sport Betting.

Huduma zetu zina patikana massa 24/7 karibu sana.
 
Back
Top Bottom