Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamn naomba msaada nashindwa kuweka pesa 1XBET kila nimeshajarbu kwa skrill, tigo pesa na kupitia Master Card lkn ina feli cjui kwann?
 
wakuu hivi ni vipi naweza kuwithdraw pesa kutoka katika account yangu ya Galsport?
 
Jamn naomba msaada nashindwa kuweka pesa 1XBET kila nimeshajarbu kwa skrill, tigo pesa na kupitia Master Card lkn ina feli cjui kwann?
Nenda deposit kisha chagua unataka kutumia njia gani km mpesa click,then jaza kiasi na number ya simu confirm.watakutumia no. Ya kampuni na kumbukumbu number hapo utamalizia mwenyew,mm nimetoka kudeposit mda huu pesa kwa kutumia mpesa
 
Mie natumia tigo pesa na nmefata njia zote na mwisho wakanitumia sms ya kutumia kulipa lkn ina feli kila nikijarbu kutuma
 
Weka kiwango cha fedha kilekile ulichojaza kwny app/website.
Yawezekana tatizo mtandao pia waweza kudeposit kupitia MPESA na AIRTEL MONEY.
 
Waliofuata WOON
Screenshot_20181107-113801.jpeg
 
Nenda deposit kisha chagua unataka kutumia njia gani km mpesa click,then jaza kiasi na number ya simu confirm.watakutumia no. Ya kampuni na kumbukumbu number hapo utamalizia mwenyew,mm nimetoka kudeposit mda huu pesa kwa kutumia mpesa
sorry mkuu mbona kwenye app ya 1xbet mpesa haipo..ipo airtel money tu...naomba unielekeze jinsi ya kudeposite kwa mpesa
 
Back
Top Bottom