Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kudepost ni angalau Tsh.1,500- 20,000,000...
Sii chini ya hapo
Kubetia kuunanza na gharama ya Tsh.300.

sorry mkuu! kama unataka kutoa pesa unahitaji kuverify account? na kama ni yes je wana accept kitambulisho cha kupigia kura?
 
In play
Screenshot_20181107-103023.jpeg
 
Hii betting bwana muda nikiweka stake ndogo mzigo unatema kama hauna akili its okay ila muda nikiamua nijilipue aloo ni balaa siambulii ata manyoya tu yani bado naendelea kuusoma huu mchezo kwanini unakuwa na matokeo ambayo yananishangaza mimi asee
Screenshot_20181107-104609.jpg
Screenshot_20181107-104559.jpg
Screenshot_20181106-212037.jpg
 
Hii betting bwana muda nikiweka stake ndogo mzigo unatema kama hauna akili its okay ila muda nikiamua nijilipue aloo ni balaa siambulii ata manyoya tu yani bado naendelea kuusoma huu mchezo kwanini unakuwa na matokeo ambayo yananishangaza mimi asee View attachment 924355View attachment 924356View attachment 924357
Jaribu kuchunguza unapoweka stake ndogo unakuwa na confidence ya kuwin na wala huogopi kuikosa ila ukiweka stake kubwa unakuwa muoga wa kuipoteza na hatimae mentality unajijengea lost badala ya win ndiyo pale msemo wat you think you become unapotimia.
 
Back
Top Bottom