Mwenda pole hajikwai
JF-Expert Member
- Oct 24, 2018
- 290
- 212
Mkuu niazime 10,000 jioni nakurudishia. Niko seriousFasta ya sodaView attachment 924175
Mkuu niazime 10,000 jioni nakurudishia. Niko seriousFasta ya sodaView attachment 924175
Wakuu amkeni, aiseeeView attachment 924210
Waliofuata WOON au Bado mmelalaView attachment 924244
Liverpool wanalaana waleSiku ya jana ilikua mbaya sana aisee
Liverpool wanalaana wale
Hakuna options hatari wala salama,kama zingekuwepo basi hatari tungeziacha,tukafuata zilizo salama tungemla Kanji kila siku!Kwani nani hapendi kula?Unaweza ukaweka over 1.5 still match ikaisha 0_0,,1_0 ikakunyima hela!Kwa mfano juzi mimi psv nmempa 2+ anacheza na Vitesse akaishia kushinda 1_0 nkakosa laki 2 na uchafu!Wale wa direct win kilichowatokea jana kwa liverpool ni muendelezo wa mafundisho kuwa direct win ni hatari kwa afya yetu, mimi wewe na yule, tupige vita direct win kama tunavyopiga vita rushwa, madawa ya kulevya na mengineyo, mpira umebadilika sana ndugu zangu, leo kila sehemu ninayopita kila mtu analia juu ya liverpool.
kiongozi bora ucheze magoli kuliko kutoa direct win huu ni ukweli mimi nakwambia kwasababu unapotoa direct win tayari unakuwa umeshajilimiti kwamba timu fulani lazima ishinde lkn ukitoa over 0.5 ina mana yeyote anaweza akatoa hizo goli sasa hapo uwezekano wa kupoteza ni mdogo sana niamini hivyo kiongozi, mimi mechi ya jana ya liverpool niliweka over 1.5 nikajuwa liverpool lazima apate goli kuanzia 2 lakini akapigwa yeye mbili na mkeka wangu ukabaki salama lkn ningempa direct win leo ningekuwa nalia kama wengine.Hakuna options hatari wala salama,kama zingekuwepo basi hatari tungeziacha,tukafuata zilizo salama tungemla Kanji kila siku!Kwani nani hapendi kula?Unaweza ukaweka over 1.5 still match ikaisha 0_0,,1_0 ikakunyima hela!Kwa mfano juzi mimi psv nmempa 2+ anacheza na Vitesse akaishia kushinda 1_0 nkakosa laki 2 na uchafu!
Huu ndio mchezo wa kubashiri,,ukibashiri sawa utapata hela ukikosea umeliwa,Hauna formula maalumu!na kama ingekuepo tungeapply tukala hela daily!
Nilisha kataa huo mchezo,Wale wa direct win kilichowatokea jana kwa liverpool ni muendelezo wa mafundisho kuwa direct win ni hatari kwa afya yetu, mimi wewe na yule, tupige vita direct win kama tunavyopiga vita rushwa, madawa ya kulevya na mengineyo, mpira umebadilika sana ndugu zangu, leo kila sehemu ninayopita kila mtu analia juu ya liverpool.
Kuna waliompaa direct win huyo Crzna zveda alikua na odds 21 aliempiga liverpool 2_0!Je wao hawajala??!Kuna waliobeti magoli kua mechi ya liver itoe over 2.5 wameliwa!kiongozi bora ucheze magoli kuliko kutoa direct win huu ni ukweli mimi nakwambia kwasababu unapotoa direct win tayari unakuwa umeshajilimiti kwamba timu fulani lazima ishinde lkn ukitoa over 0.5 ina mana yeyote anaweza akatoa hizo goli sasa hapo uwezekano wa kupoteza ni mdogo sana niamini hivyo kiongozi, mimi mechi ya jana ya liverpool niliweka over 1.5 nikajuwa liverpool lazima apate goli kuanzia 2 lakini akapigwa yeye mbili na mkeka wangu ukabaki salama lkn ningempa direct win leo ningekuwa nalia kama wengine.
Hilo nalo neno kwakweli,Kuna waliompaa direct win huyo Crzna zveda alikua na odds 21 aliempiga liverpool 2_0!Je wao hawajala??!Kuna waliobeti magoli kua mechi ya liver itoe over 2.5 wameliwa!
Hakuna formula kwenye kubet mkuu sio kila mechi itatoa over 1.5!Kwan mara ngapi zinaua mikeka?
Mkuu nisaidiee kwenye kudeposit ela unatakiwa uweke kuanziaa shingap......na kubet inaanziaa how much kwenye 1xbetWazee nimehamisha pesa toka jana kutoka ktk a/c yangu ya 1xbet kuja mpesa na operator ka approve na imeahatoka kyk account, surprisingly toka jana hadi leo haijaingia mpesa, wajuvi hapa kutakua na shida gani?
wazee haya bhana tuendelee kucheza direct win kwa afyaKuna waliompaa direct win huyo Crzna zveda alikua na odds 21 aliempiga liverpool 2_0!Je wao hawajala??!Kuna waliobeti magoli kua mechi ya liver itoe over 2.5 wameliwa!
Hakuna formula kwenye kubet mkuu sio kila mechi itatoa over 1.5!Kwan mara ngapi zinaua mikeka?
Kudepost ni angalau Tsh.1,500- 20,000,000...Mkuu nisaidiee kwenye kudeposit ela unatakiwa uweke kuanziaa shingap......na kubet inaanziaa how much kwenye 1xbet
Kudepost ni angalau Tsh.1,500- 20,000,000...
Sii chini ya hapo
Kubetia kuunanza na gharama ya Tsh.300.
Sijawahi cheza option nyingine yoyote zaidi ya direct win nina mwezi sasa sijapunwa hata siku moja ni mwendo wa kitonga tuu.kiongozi bora ucheze magoli kuliko kutoa direct win huu ni ukweli mimi nakwambia kwasababu unapotoa direct win tayari unakuwa umeshajilimiti kwamba timu fulani lazima ishinde lkn ukitoa over 0.5 ina mana yeyote anaweza akatoa hizo goli sasa hapo uwezekano wa kupoteza ni mdogo sana niamini hivyo kiongozi, mimi mechi ya jana ya liverpool niliweka over 1.5 nikajuwa liverpool lazima apate goli kuanzia 2 lakini akapigwa yeye mbili na mkeka wangu ukabaki salama lkn ningempa direct win leo ningekuwa nalia kama wengine.